Mimi nina swali tu, kwako mkuu 'Proved', na kwa wengine wote watakaopenda kulijibu hili swali.Naunga mkono hoja hii......Cdm waanze kumuandaa mrithi wa Mbowe sasa hivi mapema kwa faida yao na nchi kwa ujumla.
JokaKuu Pascal Mayalla Kalamu zitto junior
Kwa hiyo, katika mkutano wote, viongozi wote wa CHADEMA waliopewa nafasi ya kuzungumza, hakuna hata mmoja aliyegusia swala la KATIBA MPYA?
Ningependa kujua kuhusu hili.
Inawezekana CHADEMA wamepewa amri wasiguse kabisa juu ya jambo hili muhimu?
Kulizungumzia ni kama kuvunja sheria?