Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

Nyie jamaa mnaanza zile propaganda za CCM, kukodisha watu wakampiga na kumvunja mguu, wakasingizia alikuwa amelewa, huku mpaka leo polisi wako kimya kutoa taarifa yao kuhusu lile tukio.
Duh! Ushambuliwe kwenye ngazi za kuelekea mlangoni kwako hadi kuvunjwa mguu, ushindwe hata kupiga kelele kuomba msaada kwa majirani?
 
Duh! Ushambuliwe kwenye ngazi za kuelekea mlangoni kwako hadi kuvunjwa mguu, ushindwe hata kupiga kelele kuomba msaada kwa majirani?
If it was that simple, kwanini polisi wakakaa kimya hawakutoa ile ripoti yao ya pili?
 
Maridhiano ni usanii tu!

Huwezi kuleta maigizo kwenye maisha halisi. Hio dhana lengo lake ni kuwafanya Chadema na CCM kuwa kitu kimoja in a sense upinzani usiwe mkali dhidi yao. Ukishamwambia mtu fanyeni siasa za kistaarabu tayari umemuwekea mtu ukuta, chochote usichopenda utakituhumu kama sio cha kistaarabu ili kumdhoofisha.

Wazee CHADEMA is dead. Gone are the days where opposition stood to defend peoples welfare against CCM's oppression. Sahizi ni kiini macho tu ili umoja wa mataifa uone pana demokrasia. Mbowe anavuta $$$ zake kila mwezi, zito nae same way.
Mitazamo ya kushangaza sana hii, siasa za maridhiano hamtaki, mkiambiwa muandamane hamuonekani, hii inaonesha vile siasa zetu hasa kwa Chadema zimetawaliwa na wapenzi na wanachama wenye mihemko iliyopitiliza...

Ni kuhukumu kwa hisia tu!.

Maridhiano ya Mbowe na Samia ndio yameleta mikutano ya siasa, kabla ya hapo kwanini hawakuandamana kushinikiza mikutano iruhusiwe?

Leo Mbowe amefanikiwa kukaa na Samia mezani, ameipata mikutano, ajabu bado analaumiwa kwa nguvu zile zile kama ambavyo alikuwa akilaumiwa akiwa kwenye maridhiano huku mikutano ikiwa bado haijaruhusiwa, hii ni mihemko tu.
 
Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali.

Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia.

Is MBOWE OKAY?
View attachment 2490283View attachment 2490284View attachment 2490285View attachment 2490286
He is OK. He has been coached to project a nonpartisan statesmanlike image beyond the confines of CHADEMA. He did his best but the facts are just against him. Going to Mwanza on an anti-sukumagang ticket is madness. Singing the praise of Samia is correct because she DID lift the ban, but it still does not explain how CHADEMA squandered 100+ MPs and Tundu lost 87%/13% to JPM. The CHADEMA version is to justify the loss saying there was no tumehuru or katibampya, which fails because there was not even a single appeal but the Judges are not in the tumehuru spin. Mbowe is going to prove is that they lost fair and square - THAT is why Tundu and Heche are against him.
 
Nimejifunza kuwa WAFUASI, WANACHAMA na WAPENZI wa CHADEMA wengi wao ni WAJINGA, WAPUMBAVU na MAFALA.

Muda wote wao wanawaza matusi tu. Kwahiyo mlitaka MBOWE aseme nini? MADINI yatupe sisi utajiri? Nchi gani imekuwa tajiri kisa uchimbaji wa madini?
 
He is OK. He has been coached to project a nonpartisan statesmanlike image beyond the confines of CHADEMA. He did his best but the facts are just against him. Going to Mwanza on an anti-sukumagang ticket is madness. Singing the praise of Samia is correct because she DID lift the ban, but it still does not explain how CHADEMA squandered 100+ MPs and Tundu lost 87%/13% to JPM. The CHADEMA version is to justify the loss saying there was no tumehuru or katibampya, which fails because there was not even a single appeal but the Judges are not in the tumehuru spin. Mbowe is going to prove is that they lost fair and square - THAT is why Tundu and Heche are against him.
Mbowe, another hustler
 
Naunga mkono hoja hii......Cdm waanze kumuandaa mrithi wa Mbowe sasa hivi mapema kwa faida yao na nchi kwa ujumla.

JokaKuu Pascal Mayalla Kalamu zitto junior
Inawezekana sharti la kulamba asali yeye kukishikilia nafasi ya Mwenyekiti hadi ajenda yao na mama said ipite..

Mwenyekiti anapitia wakati mgumu ila atakaki kuwa DISCLOSED, stress zimemfanya kuwa CHAKALI jukwaani.

Kwani kusemea matatizo ya wananchi ni matusi? Au nchi hii matatizo yameisha?
 
Hivi nani alimuweka ndani? Na alivyotoka akaenda kusujudu
Swali zuri sana mkuu.

Kwa kifupi aliyemweka ndani ndio huyo huyo aliyemtoa na ndiye huyo huyo aliyefanya nae maridhiano ya kufanyika mikutano.
Na walichojadiliana hadi kupatikana kurudi kwa mikutano imebaki siri yao, je tuendelee kumuamini Mwenyekiti wetu?

Na nahisi kapangiwa cha kuongea pia.
 
Watu walijitokeza kusikia kama ataongelea upandaji wa gharamaza maisha,tozo na mambo mengine yanayo mgusa mwananchi ila ametumia muda mwingi kuelezwa alivyoguswa akiendelea hivi Kwa kurudisha fadhila watu wengi wataachana naye
 
Maridhiano ni usanii tu!

Huwezi kuleta maigizo kwenye maisha halisi. Hio dhana lengo lake ni kuwafanya Chadema na CCM kuwa kitu kimoja in a sense upinzani usiwe mkali dhidi yao. Ukishamwambia mtu fanyeni siasa za kistaarabu tayari umemuwekea mtu ukuta, chochote usichopenda utakituhumu kama sio cha kistaarabu ili kumdhoofisha.

Wazee CHADEMA is dead. Gone are the days where opposition stood to defend peoples welfare against CCM's oppression. Sahizi ni kiini macho tu ili umoja wa mataifa uone pana demokrasia. Mbowe anavuta $$$ zake kila mwezi, zito nae same way.
Ukishaona mambo ya umma yanafanyiwa chumbani tena na wachache ujue tayari mpo compromised. Sasa Chadema wataendesha chama na remote iko Lumumba. Sad [emoji17]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka wakafanyie uwanja wa taifa[emoji2][emoji2][emoji2]

Wameitaka mikutano, wameipata, hapa suala la maridhiano kufanyikia wapi halina maana, naona mnamtafutia Mbowe vijisababu tu.
 
Chadema kwenda bila Mbowe ni ngumu. Bado financially Mbowe ndiyo mwenye channel! Ada za wanachama bado sana, chama hakina misingi ya kujitegemea.

Mbowe akiwa compromised upinzani ni shimoni itabidi tusubiri vita within CCM ipasuke kupata wa kunyoosha mambo.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ana cha utaifa wowote huyo mlamba asali, angekuwa anajali utaifa angeongea kuhusu katiba mpya na mfumuko wabei. Anajali tumbolake tu.

Bado kuna mengi yanakuja.
Lakini kwa kauli alioitoa "kwa niaba yangu binafsi na kwa taifa langu" hii ni kauli inayoonesha mwelekeo wa mbowe Hana mpango na nyie mnaojiita wafuasi wake anapambana kwa ajili yake nyie endeleeni kuungua na jua kwa wenye akili ya kuona mbali safu nzima ya juu ya hicho chama imo mfukoni mwa uyo wanaemsifia hao mnaojua ni viongozi wenu walishamalizana na hao wanaowasafia ndo maana huyo mwenyekiti wenu alisema "tutaendelea kuwa chama kikuu Cha upinzani Hadi hapo baadae tutakapo shika Dola" wamedanganywa Ivo hahahahah acha nicheke Mimi
 
mwenyekiti wa Taifa wa chadema ni ,high profile figure katika Taifa hili,Kitengo cha organization ya mikutano ya chadema i hakikishe mwenyekiti is kept on the right track by any means. Naamini mwenye akili kubwa ameelewa what i mean .........
Huyo jamaa kwenye hicho chama akimsikiliza mtu ni ameamua yeye 😀
 
Back
Top Bottom