Duh! Ushambuliwe kwenye ngazi za kuelekea mlangoni kwako hadi kuvunjwa mguu, ushindwe hata kupiga kelele kuomba msaada kwa majirani?Nyie jamaa mnaanza zile propaganda za CCM, kukodisha watu wakampiga na kumvunja mguu, wakasingizia alikuwa amelewa, huku mpaka leo polisi wako kimya kutoa taarifa yao kuhusu lile tukio.
Bahati mbaya sana, hata atakapoamua kupumzika atamchagua yeye mwenyewe mrithi wake.Naunga mkono hoja hii......Cdm waanze kumuandaa mrithi wa Mbowe sasa hivi mapema kwa faida yao na nchi kwa ujumla.
If it was that simple, kwanini polisi wakakaa kimya hawakutoa ile ripoti yao ya pili?Duh! Ushambuliwe kwenye ngazi za kuelekea mlangoni kwako hadi kuvunjwa mguu, ushindwe hata kupiga kelele kuomba msaada kwa majirani?
Mitazamo ya kushangaza sana hii, siasa za maridhiano hamtaki, mkiambiwa muandamane hamuonekani, hii inaonesha vile siasa zetu hasa kwa Chadema zimetawaliwa na wapenzi na wanachama wenye mihemko iliyopitiliza...Maridhiano ni usanii tu!
Huwezi kuleta maigizo kwenye maisha halisi. Hio dhana lengo lake ni kuwafanya Chadema na CCM kuwa kitu kimoja in a sense upinzani usiwe mkali dhidi yao. Ukishamwambia mtu fanyeni siasa za kistaarabu tayari umemuwekea mtu ukuta, chochote usichopenda utakituhumu kama sio cha kistaarabu ili kumdhoofisha.
Wazee CHADEMA is dead. Gone are the days where opposition stood to defend peoples welfare against CCM's oppression. Sahizi ni kiini macho tu ili umoja wa mataifa uone pana demokrasia. Mbowe anavuta $$$ zake kila mwezi, zito nae same way.
He is OK. He has been coached to project a nonpartisan statesmanlike image beyond the confines of CHADEMA. He did his best but the facts are just against him. Going to Mwanza on an anti-sukumagang ticket is madness. Singing the praise of Samia is correct because she DID lift the ban, but it still does not explain how CHADEMA squandered 100+ MPs and Tundu lost 87%/13% to JPM. The CHADEMA version is to justify the loss saying there was no tumehuru or katibampya, which fails because there was not even a single appeal but the Judges are not in the tumehuru spin. Mbowe is going to prove is that they lost fair and square - THAT is why Tundu and Heche are against him.Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali.
Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia.
Is MBOWE OKAY?
View attachment 2490283View attachment 2490284View attachment 2490285View attachment 2490286
Hata mimi naona kama kalewa vile.Nani kampa mkt POMBE?😠😠😠
Mchele kilo 3000, amepata wapi pesa ya kwenda kulewea?
Mbowe, another hustlerHe is OK. He has been coached to project a nonpartisan statesmanlike image beyond the confines of CHADEMA. He did his best but the facts are just against him. Going to Mwanza on an anti-sukumagang ticket is madness. Singing the praise of Samia is correct because she DID lift the ban, but it still does not explain how CHADEMA squandered 100+ MPs and Tundu lost 87%/13% to JPM. The CHADEMA version is to justify the loss saying there was no tumehuru or katibampya, which fails because there was not even a single appeal but the Judges are not in the tumehuru spin. Mbowe is going to prove is that they lost fair and square - THAT is why Tundu and Heche are against him.
This is MADNESS!!!!😄😄😄😄😄Umkome Mbowe ....muache amsifie mama
Inawezekana sharti la kulamba asali yeye kukishikilia nafasi ya Mwenyekiti hadi ajenda yao na mama said ipite..Naunga mkono hoja hii......Cdm waanze kumuandaa mrithi wa Mbowe sasa hivi mapema kwa faida yao na nchi kwa ujumla.
JokaKuu Pascal Mayalla Kalamu zitto junior
Swali zuri sana mkuu.Hivi nani alimuweka ndani? Na alivyotoka akaenda kusujudu
Yes he is very much okNahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali.
Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia.
Is MBOWE OKAY?
View attachment 2490283View attachment 2490284View attachment 2490285View attachment 2490286
Ukishaona mambo ya umma yanafanyiwa chumbani tena na wachache ujue tayari mpo compromised. Sasa Chadema wataendesha chama na remote iko Lumumba. Sad [emoji17]Maridhiano ni usanii tu!
Huwezi kuleta maigizo kwenye maisha halisi. Hio dhana lengo lake ni kuwafanya Chadema na CCM kuwa kitu kimoja in a sense upinzani usiwe mkali dhidi yao. Ukishamwambia mtu fanyeni siasa za kistaarabu tayari umemuwekea mtu ukuta, chochote usichopenda utakituhumu kama sio cha kistaarabu ili kumdhoofisha.
Wazee CHADEMA is dead. Gone are the days where opposition stood to defend peoples welfare against CCM's oppression. Sahizi ni kiini macho tu ili umoja wa mataifa uone pana demokrasia. Mbowe anavuta $$$ zake kila mwezi, zito nae same way.
Ulitaka wakafanyie uwanja wa taifa[emoji2][emoji2][emoji2]Ukishaona mambo ya umma yanafanyiwa chumbani tena na wachache ujue tayari mpo compromised. Sasa Chadema wataendesha chama na remote iko Lumumba. Sad [emoji17]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Umemsikiliza chairman jana? Tumeona matunda ya maridhiano [emoji1]Ulitaka wakafanyie uwanja wa taifa[emoji2][emoji2][emoji2]
Wameitaka mikutano, wameipata, hapa suala la maridhiano kufanyikia wapi halina maana, naona mnamtafutia Mbowe vijisababu tu.
Lakini kwa kauli alioitoa "kwa niaba yangu binafsi na kwa taifa langu" hii ni kauli inayoonesha mwelekeo wa mbowe Hana mpango na nyie mnaojiita wafuasi wake anapambana kwa ajili yake nyie endeleeni kuungua na jua kwa wenye akili ya kuona mbali safu nzima ya juu ya hicho chama imo mfukoni mwa uyo wanaemsifia hao mnaojua ni viongozi wenu walishamalizana na hao wanaowasafia ndo maana huyo mwenyekiti wenu alisema "tutaendelea kuwa chama kikuu Cha upinzani Hadi hapo baadae tutakapo shika Dola" wamedanganywa Ivo hahahahah acha nicheke MimiAna cha utaifa wowote huyo mlamba asali, angekuwa anajali utaifa angeongea kuhusu katiba mpya na mfumuko wabei. Anajali tumbolake tu.
Bado kuna mengi yanakuja.
Huyo jamaa kwenye hicho chama akimsikiliza mtu ni ameamua yeye 😀mwenyekiti wa Taifa wa chadema ni ,high profile figure katika Taifa hili,Kitengo cha organization ya mikutano ya chadema i hakikishe mwenyekiti is kept on the right track by any means. Naamini mwenye akili kubwa ameelewa what i mean .........