Pre GE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna kuchelewa hapahapa tunapiga kura.
Lisu [ ✓ ] Mbowe[ × ]

na ww changamkia fulsa usije ukashenyetwa na SACCOS
 
anzisheni chama chenu wakuu, kwanini munang'ang'aniachama cha watu?
 
Moto wa chama chini ya FAM umezima kabisa. Na kwa approach yake chama kinaelekea kuwa kama CHAUMA kuwa kipo lakini hakipo. Ni wakati sasa kuurudisha moto na ari ya mageuzi kwa kuleta damu mpya. CCM huwezi kuitikisa kwa approach ya FAM. Huwezi. CCM inahitaji kupata chagizo sahihi za akina TAL, Heche, Mwabukusi, Lema, nk nk nk. hawa jamaa hawana talalila hata kidogo.
 

Yaani CHADEMA imepoa sana, ni kama mwenyeiti anakifanyia chama "controlled demolition"
 
NAUNGA MKONO HOJA ZAKO ZOTE
 
Ataelewa tu
 
Sasa si uwaambie na wajumbe wenzako mkamtoe kwenye Box la Kura ? Sababu huku unapoelezea huenda wengi hata Kura hawapigi na kinachofanyika hizi Dirty Laundry zinazooshwa barazani zinawaumiza wenyewe zaidi...

Pia kama Mbowe hafai na ameweza kukaa muda wote huo huenda cha kubadilisha ni mfumo (unaoweza kumtunza mtu ambae hafai) na sio mtu, sababu huyu mtu kwenye mfumo mbovu anaweza kutumia madhaifu hayo na kuwa kama yule mliyemtoa...
 
Huyo aliyelimbilia ubelgiji ndio ataleta siasa za undava? Tanzania unaijua? Kwanza maandamano ya mwisho aliyeandamana ni Mbowe tu
 
Mwamba nilikuwa namkubali mwanzo kwa hapa,kachemka! Sababu Huwa hazikosekani! Mandela alikuwa mwamba!
 
Huyo aliyelimbilia ubelgiji ndio ataleta siasa za undava? Tanzania unaijua? Kwanza maandamano ya mwisho aliyeandamana ni Mbowe tu
Kuandamana sio kipimo,hata nyumbu Serengeti huandamana kuhamia Kenya.
 

Wajumbe wanatufuatilia kwa makini hapa JF
 
Wajumbe wanatufuatilia kwa makini hapa JF
Vizuri watufuatilie ila wamwambie inatosha hata kama Bado anaona anafaa! Mandela ni mfano ulio nzuri kwake na kwa Afrika kwa ujumla,wasouth walimkubali hata angefia kwenye uraisi,aliamua akamuachia Mbeki,Bado yupo midomoni mwapo na mwetu.Viva fikra za Madiba.
 
Nimemsikiliza mbowe kwa makini, kiujumla ni mtu anayeonyesha malalamiko mno kuliko way forward, Anahubiri demokrasia asiyoiamini.Chadema Wana wakati mgumu Sana...mbowe akirudi wasitafute mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…