paco anthony
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 516
- 831
Hakuna kuchelewa hapahapa tunapiga kura.
Lisu [ ✓ ] Mbowe[ × ]
na ww changamkia fulsa usije ukashenyetwa na SACCOS

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha bangi zako, kwani CHADEMA ni chama cha Mbowe?anzisheni chama chenu wakuu, kwanini munang'ang'aniachama cha watu?
Moto wa chama chini ya FAM umezima kabisa. Na kwa approach yake chama kinaelekea kuwa kama CHAUMA kuwa kipo lakini hakipo. Ni wakati sasa kuurudisha moto na ari ya mageuzi kwa kuleta damu mpya. CCM huwezi kuitikisa kwa approach ya FAM. Huwezi. CCM inahitaji kupata chagizo sahihi za akina TAL, Heche, Mwabukusi, Lema, nk nk nk. hawa jamaa hawana talalila hata kidogo.
Acha bangi zako, kwani CHADEMA ni chama cha Mbowe?
NAUNGA MKONO HOJA ZAKO ZOTENdugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.
Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini.
1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano.
*Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake kuwa huyo mtu ana makandokando mengi, chama kilimuweka katika List of shame na kumuita fisadi consistently kwa miaka 8. Ulicompromise principle in exchange ya kupata madaraka kwa gharama yoyote, matokeo yake chama kiligawanyika, makada wengi wenye kutafuta ukombozi wa kweli walirudi nyuma. Japo mlipata wabunge wengi lakini ile ilikuwa ni puto lililojaa upepo, ubunge wao haukuwa kwa maslahi ya muda mrefu ya CHADEMA hata kidogo (labda ruzuku). Hii move labda mgefanikiwa kuingia Ikulu tungesema the end justifies the means lakini kushindwa kwenu kuingia IKULU wewe ulipaswa kujiuzulu kwa sababu wewe kama mwenyekiti ulicheza kamari kubwa na ili kurudisha imani kwa wananchi ulipaswa kukaa pembeni baada ya uchaguzi huo.
2. Makada wa chama chako wanatekwa, kupotezwa na kuuawa halafu umekaa unakodoa mimacho tu.
Kamanda wewe vepe?, wewe ni kamanda kweli au kamanda wa kupenda kuvaa kombati tu?
Kitabu cha Kabendera kimetoka, Msaidizi wako Ben Saanane tumeelezwa alipigwa shaba na Jiwe Ikulu. Badala useize moment upige kelele kutaka uchunguzi wewe upoupo tu umezubaa, wewe mzee vepe?. Sisi wananchi hatukuelewi.
Kijana wako, kada wako jasiri Deusdedith Soka amepotezwa, leo humzungumzii kabisa, huonyeshi FIRE yoyote ndani yako kutumia influence yako ya nguvu ya umma na kimataifa kuendelea kupiga pressure, kujenga awareness ili kijana apatikane wewe umekaa umekodoa mimacho tu kama ndubwi. Wewe mzee vepe, unakuwaje lonyolonyo namna hii babu?.
3. COVID-19 wanagushi nyaraka kwa kusaidiwa na wachumba zao ndani ya Sekretariat
Wewe ni mwenyekiti wa chama, COVID-19 kwa kushirikiana na wachumba zao ndani ya sekretariat ya chama wanahujumu chama, wanafoji saini ya katibu mkuu, wewe unaacha kusafisha sekretariat, unajifanya kama hili hulijui wakati unajua gemu nzima. Unaendeleza ushosti na hao COVID-19, tena wengine unawaita hadi nairobi kula bata, bado unajiweka karibukaribu nao hata kwenye mambo ya kijamii. Na tena wanatoa kauli za wazi kukuunga mkono na huzitolei kauli. Babu wewe vepe, Umechoka mzee, huwezi tena mzee, kaa pembeni mzee!
4. Hatutaki UNCLE TOM kwenye nafasi ya juu ya kikamanda.
Babu Mbowe let me tell you something. You are tired babu. Wewe siyo Freeman wa miaka 15 iliyopita, Wewe sasa hivi upo compromised. Unaendeshwa kwa remote tu kwa sababu mosi umechoka, pili interests zako zimegongana na interests za wananchi na sasa umechagua interests zako. Umekuwa UNCLE TOM. Samia akisema Jump wewe unasema how high. Umekuwa kama House Negro, Wale makamanda Halisi ambao malcolm X aliwaita Field Negroes kama akina Heche, Lissu wakikuambia let us escape from here wewe unasema you guys, are you crazy?, where else can we get good food from here. Moto ukishika nyumba ya Slave master (Yaani CCM) akina Lissu na Heche na mamilioni ya wanachadema wanashangilia, wewe badaka yake unaenda kuisaidia CCM kuzima moto. Mfano wa hili ni ishu iliyotokea kwenye msiba wa mzee Kibao Tanga, wananchi wanataka wakinukishe wewe unakuja na mambo yako ya busarabusara. "Gerare hiya" na busara zako zisizo na busara.
5. Bwana Mbowe wanaokuambia una busara wanakung'ong'a , Wanamaanisha wewe ni "MZEE WA BUSARA"
Ungekuwa na busara ungeweka ego yako pembeni. Ungekaa pembeni chama kiendeshwe kwa energy mpya, mawazo mapya na tija mpya. Ungekuwa na busara ungesoma alama za nyakati kuwa UNAPENDWA lakini UMECHOKWA. Kwani usichokielewa ni kipi babu?. Mbowe kwa jinsi unavyoendelea kujizima data, wewe sasa ni MZEE WA BUSARA, unakitoa chama kafara hivihivi kwenye Altare ya CCM ili uweze kupanda rank katika kundi la wachawi wa kisiasa nchini. Kaa pembeni mzee, wananchi hawataki uzandiki na uwanga wa kisiasa
6. Achia ngazi babu mchuma unaondoka huo
Nimekumbuka wimbo wa Nasma hamisi Kidogo, "Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo". Mzee Mbowe, let me tell you one thing. Time is not on your side babu. Hebu achana na kutaka kufia kwenye kiti, Uking'ang'ania sana watu hawataishia kukuita Mugabe wataanza kukuita Mobutu, utajisikiaje watu wakianza kukuita UNCLE TOM KUKUNGBEDU WA ZABANGA?. Yaani wewe mzee unamuamini Samia aliyekuweka Jela kwa miezi minane kuliko makamanda wako akina Lissu, Heche, Lema na wengineo mliokuwa nao kwenye trenches kwa miaka zaidibya 20?. Wewe babu umekula maharage ya wapi mzee?.
7. Mwisho kabisa nataka nihitimishe kwa kusema kuwa, Ndugu Mbowe chama umekifanyia makubwa, umefanya mengi mazuri. Hatukukatai kwa yale mazuri uliyoyafanya, bali tunakukataa kwa yale ambayo hukuyafanya, huyafanyi na wala huonyeshi zeal au nia ya kuyafanya. Wananchi tumechoka kuibiwa kura, Wananchi tumechoka kutekwa na kupotezwa, Wananchi tumechoka rasilimali zetu kutapanywa. Hatuoni FIRE wala ZEAL ya kupambana na hali hiyo. Na badala yake nyinyi badala ya kutoa uongozi kwa wananchi kuconfront ujinga huo, mmetugeuzia kibao kwa kutuita eti sisi ni waoga, Waoga kivipi wakati nyie mlio front hamtuonyeshi njia, mbinu, ujasiri wa kurudia tena na tena mpaka hilo jambo lifanikiwe. Wewe unapokuwa kiongozi inabidi uonyeshe njia, ukifeli kuonyesha njua basi hufai kaa pembeni. Mzee Mbowe nimalizie kwa kusema kuwa NOW YOU CANNOT STAND THE HEAT, STAY OUT OF THE KITCHEN.
Duh! Haya bwanani kwamba ulikuwa hujui ama?
Ataelewa tuNdugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.

Kwani cdm ni ya Mbowe?Anzisheni chama chenu mpeleke huo moto, kwani ni lazima kuupeleka moto mkiwa CHADEMA ?🐼
Nyumbu wa SultanAnzisheni chama chenu mpeleke huo moto, kwani ni lazima kuupeleka moto mkiwa CHADEMA ?🐼
Tuko pamoja sana.NAUNGA MKONO HOJA ZAKO ZOTE
Huyo aliyelimbilia ubelgiji ndio ataleta siasa za undava? Tanzania unaijua? Kwanza maandamano ya mwisho aliyeandamana ni Mbowe tuNdugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.

Ni Mbowe mwenyewe ndie alikuwa akisema kuwa huyu Mama ni Kiongozi mzuri na akampelekea hadi Tuzo, sasa ghafla uje useme tena andamaneni huyu Mama ni jinamizi nani atakuelewa?!FAM alipoitisha maandamano ya kupinga dhuruma na ukandamizaji?
Mwamba nilikuwa namkubali mwanzo kwa hapa,kachemka! Sababu Huwa hazikosekani! Mandela alikuwa mwamba!Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.

Kuandamana sio kipimo,hata nyumbu Serengeti huandamana kuhamia Kenya.Huyo aliyelimbilia ubelgiji ndio ataleta siasa za undava? Tanzania unaijua? Kwanza maandamano ya mwisho aliyeandamana ni Mbowe tu
Sasa si uwaambie na wajumbe wenzako mkamtoe kwenye Box la Kura ? Sababu huku unapoelezea huenda wengi hata Kura hawapigi na kinachofanyika hizi Dirty Laundry zinazooshwa barazani zinawaumiza wenyewe zaidi...
Pia kama Mbowe hafai na ameweza kukaa muda wote huo huenda cha kubadilisha ni mfumo (unaoweza kumtunza mtu ambae hafai) na sio mtu, sababu huyu mtu kwenye mfumo mbovu anaweza kutumia madhaifu hayo na kuwa kama yule mliyemtoa...
Vizuri watufuatilie ila wamwambie inatosha hata kama Bado anaona anafaa! Mandela ni mfano ulio nzuri kwake na kwa Afrika kwa ujumla,wasouth walimkubali hata angefia kwenye uraisi,aliamua akamuachia Mbeki,Bado yupo midomoni mwapo na mwetu.Viva fikra za Madiba.Wajumbe wanatufuatilia kwa makini hapa JF
Nimemsikiliza mbowe kwa makini, kiujumla ni mtu anayeonyesha malalamiko mno kuliko way forward, Anahubiri demokrasia asiyoiamini.Chadema Wana wakati mgumu Sana...mbowe akirudi wasitafute mchawiNdugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.