Pre GE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuandamana kule yalikiwa maigizo tu ya FAM, yule jamaa ni pimbi, sana. Anawauza watanzania kwa jina la siasa uchwara. Pimbi wa head.
 
Nimemsikiliza mbowe kwa makini, kiujumla ni mtu anayeonyesha malalamiko mno kuliko way forward, Anahubiri demokrasia asiyoiamini.Chadema Wana wakati mgumu Sana...mbowe akirudi wasitafute mchawi
Ila hajui kama angeondoka,Heshima yake ingeongezeka zaidi!Washauri wake hawako vizuri kichwani!
 
Kuna hombwe gani kwenye sanduku la kura?Mbona wanaharakati wanaliogopa sanduku kama ukoma?
 
Msiba wa alikibao siku ile ya kuaga mwili mbowe alizingua kishenzi na ilionekana dhahiri mbowe hafai kuwa mwenyekiti wa chadema
 
Mandela alikuwa nje ya mfumo zaidi ya miaka 27 na pale alipoukwaa Uraisi ndipo aligundua ugumu wa kazi hiyo,kuachia madaraka baada ya kipindi kimmoja tu.
Lakini kwa akina Mbowe wapo vipindi vyote wakiwa wabunge n.k
Tofauti kubwa ni mmoja katiba mpya inayompa uhuru na haki wa mtu achague au achaguliwe ndio shida.Au mwananchi aanzishe chama cha sia bila mikingamo nayo ni shida.
Au kuwepo mgombea binafsi hekima za Mchungaji Mtikila.
Pakiletwa mgombea binafsi hivi vyama vya siasa vitafanya kazi zao kwa makini zaidi.
 
Basi tusiwaseme wengine ni madikteta, maana tafsiri yake ni ngumu,maelezo ya kila mmoja yana hoja za kusikilizwa!
 
Kazi ipooo...
Nipo nje ya wakati kumbe Chadema imejigawa siku hizi...
 
Kams
Kama mpaka sasa unamuamini mbowe ataivusha cdm huna akili. Hufai kuwa cdm.
 
Nadhani umeandika mapovu na ujinga bila kujua huyo wa kuwapeleka huko ni nani.

Twende sawa utaelewa.Wanasema baharia mzuri hujulikana wakati wa dhoruba.

Wakati wa dhoruba huyo unaempigia chapua alikimbia Nchi akiogopa eti Kukamatwa na kusingizia kuuwawa.

Unaedai ana siasa za ki tomboy alivumilia vipindi vyote akafingwa jela,akafilisiwa na kudhalilishwa ila hakukimbia licha ya kupewa ofa kama zote.

Eti Leo dhoruba imetulia,nahodha amevusha chombo mnaibuka punguani Fulani mnadai kwamba huyu aliyewavusha kwenye dhoruba hafai ila aliyekimbia dhoruba.

Upumbavu wa hivi uko kwenye Vyama vya wajinga kama Chadema.

Mwisho tegemeeni tuu mazingira magumu ya Kisiasa kurudi tuone mtu wenu kama hatorudi Ubelgiji πŸ˜† πŸ˜†
 
Content ya maandiko yako imejaa utamaduni wa ccm. Siasa inajengwa kwa chaguzi; sio teuzi. Wacha kiti kigombewe usilete uccm
 
Ngoja utandikwe risasi 16 halafu ukomae usikimbie tukupeleke pale Muhimbili, then uje kuongea hicho ulichosema. Medani za kivita zinaruhusu kukimbia uwanja wa vita hali ikiwa mbaya, then unarejea baadae kuendeleza mapambano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…