Pre GE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni kweli Mbowe inatosha lakini Swali langu dogo kwako, Je, ulishawahi kutoka barabarani kuandamana pale FAM alipoitisha maandamano ya kupinga dhuruma na ukandamizaji?

Au na wewe ni wale wale Keyboard Ghosts mkiitwa mtoke front barabarani mnajificha chooni.
Kuandamana kule yalikiwa maigizo tu ya FAM, yule jamaa ni pimbi, sana. Anawauza watanzania kwa jina la siasa uchwara. Pimbi wa head.
 
Nimemsikiliza mbowe kwa makini, kiujumla ni mtu anayeonyesha malalamiko mno kuliko way forward, Anahubiri demokrasia asiyoiamini.Chadema Wana wakati mgumu Sana...mbowe akirudi wasitafute mchawi
Ila hajui kama angeondoka,Heshima yake ingeongezeka zaidi!Washauri wake hawako vizuri kichwani!
 
Jipya pekee na la maana ambalo nalitegemea ktk hiyo press conference ni yeye kuachia ngazi kama mwenyekiti au kujitoa kugombea maana kugonbea kwake japo ni haki yake ya kikatiba kunakigawa chama, hakuna mustakabali mwema kwa chama.

Nje ya hilo basi itakuwa more of the same, hana jipya, ni yaleyale tu.
Kuna hombwe gani kwenye sanduku la kura?Mbona wanaharakati wanaliogopa sanduku kama ukoma?
 
Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.

Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini.

1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano.

*Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake kuwa huyo mtu ana makandokando mengi, chama kilimuweka katika List of shame na kumuita fisadi consistently kwa miaka 8. Ulicompromise principle in exchange ya kupata madaraka kwa gharama yoyote, matokeo yake chama kiligawanyika, makada wengi wenye kutafuta ukombozi wa kweli walirudi nyuma. Japo mlipata wabunge wengi lakini ile ilikuwa ni puto lililojaa upepo, ubunge wao haukuwa kwa maslahi ya muda mrefu ya CHADEMA hata kidogo (labda ruzuku). Hii move labda mgefanikiwa kuingia Ikulu tungesema the end justifies the means lakini kushindwa kwenu kuingia IKULU wewe ulipaswa kujiuzulu kwa sababu wewe kama mwenyekiti ulicheza kamari kubwa na ili kurudisha imani kwa wananchi ulipaswa kukaa pembeni baada ya uchaguzi huo.

2. Makada wa chama chako wanatekwa, kupotezwa na kuuawa halafu umekaa unakodoa mimacho tu.

Kamanda wewe vepe?, wewe ni kamanda kweli au kamanda wa kupenda kuvaa kombati tu?

Kitabu cha Kabendera kimetoka, Msaidizi wako Ben Saanane tumeelezwa alipigwa shaba na Jiwe Ikulu. Badala useize moment upige kelele kutaka uchunguzi wewe upoupo tu umezubaa, wewe mzee vepe?. Sisi wananchi hatukuelewi.
Kijana wako, kada wako jasiri Deusdedith Soka amepotezwa, leo humzungumzii kabisa, huonyeshi FIRE yoyote ndani yako kutumia influence yako ya nguvu ya umma na kimataifa kuendelea kupiga pressure, kujenga awareness ili kijana apatikane wewe umekaa umekodoa mimacho tu kama ndubwi. Wewe mzee vepe, unakuwaje lonyolonyo namna hii babu?.

3. COVID-19 wanagushi nyaraka kwa kusaidiwa na wachumba zao ndani ya Sekretariat

Wewe ni mwenyekiti wa chama, COVID-19 kwa kushirikiana na wachumba zao ndani ya sekretariat ya chama wanahujumu chama, wanafoji saini ya katibu mkuu, wewe unaacha kusafisha sekretariat, unajifanya kama hili hulijui wakati unajua gemu nzima. Unaendeleza ushosti na hao COVID-19, tena wengine unawaita hadi nairobi kula bata, bado unajiweka karibukaribu nao hata kwenye mambo ya kijamii. Na tena wanatoa kauli za wazi kukuunga mkono na huzitolei kauli. Babu wewe vepe, Umechoka mzee, huwezi tena mzee, kaa pembeni mzee!

4. Hatutaki UNCLE TOM kwenye nafasi ya juu ya kikamanda.

Babu Mbowe let me tell you something. You are tired babu. Wewe siyo Freeman wa miaka 15 iliyopita, Wewe sasa hivi upo compromised. Unaendeshwa kwa remote tu kwa sababu mosi umechoka, pili interests zako zimegongana na interests za wananchi na sasa umechagua interests zako. Umekuwa UNCLE TOM. Samia akisema Jump wewe unasema how high. Umekuwa kama House Negro, Wale makamanda Halisi ambao malcolm X aliwaita Field Negroes kama akina Heche, Lissu wakikuambia let us escape from here wewe unasema you guys, are you crazy?, where else can we get good food from here. Moto ukishika nyumba ya Slave master (Yaani CCM) akina Lissu na Heche na mamilioni ya wanachadema wanashangilia, wewe badaka yake unaenda kuisaidia CCM kuzima moto. Mfano wa hili ni ishu iliyotokea kwenye msiba wa mzee Kibao Tanga, wananchi wanataka wakinukishe wewe unakuja na mambo yako ya busarabusara. "Gerare hiya" na busara zako zisizo na busara.

5. Bwana Mbowe wanaokuambia una busara wanakung'ong'a , Wanamaanisha wewe ni "MZEE WA BUSARA"

Ungekuwa na busara ungeweka ego yako pembeni. Ungekaa pembeni chama kiendeshwe kwa energy mpya, mawazo mapya na tija mpya. Ungekuwa na busara ungesoma alama za nyakati kuwa UNAPENDWA lakini UMECHOKWA. Kwani usichokielewa ni kipi babu?. Mbowe kwa jinsi unavyoendelea kujizima data, wewe sasa ni MZEE WA BUSARA, unakitoa chama kafara hivihivi kwenye Altare ya CCM ili uweze kupanda rank katika kundi la wachawi wa kisiasa nchini. Kaa pembeni mzee, wananchi hawataki uzandiki na uwanga wa kisiasa

6. Achia ngazi babu mchuma unaondoka huo

Nimekumbuka wimbo wa Nasma hamisi Kidogo, "Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo". Mzee Mbowe, let me tell you one thing. Time is not on your side babu. Hebu achana na kutaka kufia kwenye kiti, Uking'ang'ania sana watu hawataishia kukuita Mugabe wataanza kukuita Mobutu, utajisikiaje watu wakianza kukuita UNCLE TOM KUKUNGBEDU WA ZABANGA?. Yaani wewe mzee unamuamini Samia aliyekuweka Jela kwa miezi minane kuliko makamanda wako akina Lissu, Heche, Lema na wengineo mliokuwa nao kwenye trenches kwa miaka zaidibya 20?. Wewe babu umekula maharage ya wapi mzee?.

7. Mwisho kabisa nataka nihitimishe kwa kusema kuwa, Ndugu Mbowe chama umekifanyia makubwa, umefanya mengi mazuri. Hatukukatai kwa yale mazuri uliyoyafanya, bali tunakukataa kwa yale ambayo hukuyafanya, huyafanyi na wala huonyeshi zeal au nia ya kuyafanya. Wananchi tumechoka kuibiwa kura, Wananchi tumechoka kutekwa na kupotezwa, Wananchi tumechoka rasilimali zetu kutapanywa. Hatuoni FIRE wala ZEAL ya kupambana na hali hiyo. Na badala yake nyinyi badala ya kutoa uongozi kwa wananchi kuconfront ujinga huo, mmetugeuzia kibao kwa kutuita eti sisi ni waoga, Waoga kivipi wakati nyie mlio front hamtuonyeshi njia, mbinu, ujasiri wa kurudia tena na tena mpaka hilo jambo lifanikiwe. Wewe unapokuwa kiongozi inabidi uonyeshe njia, ukifeli kuonyesha njua basi hufai kaa pembeni. Mzee Mbowe nimalizie kwa kusema kuwa NOW YOU CANNOT STAND THE HEAT, STAY OUT OF THE KITCHEN.
Msiba wa alikibao siku ile ya kuaga mwili mbowe alizingua kishenzi na ilionekana dhahiri mbowe hafai kuwa mwenyekiti wa chadema
 
Vizuri watufuatilie ila wamwambie inatosha hata kama Bado anaona anafaa! Mandela ni mfano ulio nzuri kwake na kwa Afrika kwa ujumla,wasouth walimkubali hata angefia kwenye uraisi,aliamua akamuachia Mbeki,Bado yupo midomoni mwapo na mwetu.Viva fikra za Madiba.
Mandela alikuwa nje ya mfumo zaidi ya miaka 27 na pale alipoukwaa Uraisi ndipo aligundua ugumu wa kazi hiyo,kuachia madaraka baada ya kipindi kimmoja tu.
Lakini kwa akina Mbowe wapo vipindi vyote wakiwa wabunge n.k
Tofauti kubwa ni mmoja katiba mpya inayompa uhuru na haki wa mtu achague au achaguliwe ndio shida.Au mwananchi aanzishe chama cha sia bila mikingamo nayo ni shida.
Au kuwepo mgombea binafsi hekima za Mchungaji Mtikila.
Pakiletwa mgombea binafsi hivi vyama vya siasa vitafanya kazi zao kwa makini zaidi.
 
Basi tusiwaseme wengine ni madikteta, maana tafsiri yake ni ngumu,maelezo ya kila mmoja yana hoja za kusikilizwa!
 
Kazi ipooo...
Nipo nje ya wakati kumbe Chadema imejigawa siku hizi...
 
Kams
Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.

Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini.

1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano.

*Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake kuwa huyo mtu ana makandokando mengi, chama kilimuweka katika List of shame na kumuita fisadi consistently kwa miaka 8. Ulicompromise principle in exchange ya kupata madaraka kwa gharama yoyote, matokeo yake chama kiligawanyika, makada wengi wenye kutafuta ukombozi wa kweli walirudi nyuma. Japo mlipata wabunge wengi lakini ile ilikuwa ni puto lililojaa upepo, ubunge wao haukuwa kwa maslahi ya muda mrefu ya CHADEMA hata kidogo (labda ruzuku). Hii move labda mgefanikiwa kuingia Ikulu tungesema the end justifies the means lakini kushindwa kwenu kuingia IKULU wewe ulipaswa kujiuzulu kwa sababu wewe kama mwenyekiti ulicheza kamari kubwa na ili kurudisha imani kwa wananchi ulipaswa kukaa pembeni baada ya uchaguzi huo.

2. Makada wa chama chako wanatekwa, kupotezwa na kuuawa halafu umekaa unakodoa mimacho tu.

Kamanda wewe vepe?, wewe ni kamanda kweli au kamanda wa kupenda kuvaa kombati tu?

Kitabu cha Kabendera kimetoka, Msaidizi wako Ben Saanane tumeelezwa alipigwa shaba na Jiwe Ikulu. Badala useize moment upige kelele kutaka uchunguzi wewe upoupo tu umezubaa, wewe mzee vepe?. Sisi wananchi hatukuelewi.
Kijana wako, kada wako jasiri Deusdedith Soka amepotezwa, leo humzungumzii kabisa, huonyeshi FIRE yoyote ndani yako kutumia influence yako ya nguvu ya umma na kimataifa kuendelea kupiga pressure, kujenga awareness ili kijana apatikane wewe umekaa umekodoa mimacho tu kama ndubwi. Wewe mzee vepe, unakuwaje lonyolonyo namna hii babu?.

3. COVID-19 wanagushi nyaraka kwa kusaidiwa na wachumba zao ndani ya Sekretariat

Wewe ni mwenyekiti wa chama, COVID-19 kwa kushirikiana na wachumba zao ndani ya sekretariat ya chama wanahujumu chama, wanafoji saini ya katibu mkuu, wewe unaacha kusafisha sekretariat, unajifanya kama hili hulijui wakati unajua gemu nzima. Unaendeleza ushosti na hao COVID-19, tena wengine unawaita hadi nairobi kula bata, bado unajiweka karibukaribu nao hata kwenye mambo ya kijamii. Na tena wanatoa kauli za wazi kukuunga mkono na huzitolei kauli. Babu wewe vepe, Umechoka mzee, huwezi tena mzee, kaa pembeni mzee!

4. Hatutaki UNCLE TOM kwenye nafasi ya juu ya kikamanda.

Babu Mbowe let me tell you something. You are tired babu. Wewe siyo Freeman wa miaka 15 iliyopita, Wewe sasa hivi upo compromised. Unaendeshwa kwa remote tu kwa sababu mosi umechoka, pili interests zako zimegongana na interests za wananchi na sasa umechagua interests zako. Umekuwa UNCLE TOM. Samia akisema Jump wewe unasema how high. Umekuwa kama House Negro, Wale makamanda Halisi ambao malcolm X aliwaita Field Negroes kama akina Heche, Lissu wakikuambia let us escape from here wewe unasema you guys, are you crazy?, where else can we get good food from here. Moto ukishika nyumba ya Slave master (Yaani CCM) akina Lissu na Heche na mamilioni ya wanachadema wanashangilia, wewe badaka yake unaenda kuisaidia CCM kuzima moto. Mfano wa hili ni ishu iliyotokea kwenye msiba wa mzee Kibao Tanga, wananchi wanataka wakinukishe wewe unakuja na mambo yako ya busarabusara. "Gerare hiya" na busara zako zisizo na busara.

5. Bwana Mbowe wanaokuambia una busara wanakung'ong'a , Wanamaanisha wewe ni "MZEE WA BUSARA"

Ungekuwa na busara ungeweka ego yako pembeni. Ungekaa pembeni chama kiendeshwe kwa energy mpya, mawazo mapya na tija mpya. Ungekuwa na busara ungesoma alama za nyakati kuwa UNAPENDWA lakini UMECHOKWA. Kwani usichokielewa ni kipi babu?. Mbowe kwa jinsi unavyoendelea kujizima data, wewe sasa ni MZEE WA BUSARA, unakitoa chama kafara hivihivi kwenye Altare ya CCM ili uweze kupanda rank katika kundi la wachawi wa kisiasa nchini. Kaa pembeni mzee, wananchi hawataki uzandiki na uwanga wa kisiasa

6. Achia ngazi babu mchuma unaondoka huo

Nimekumbuka wimbo wa Nasma hamisi Kidogo, "Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo". Mzee Mbowe, let me tell you one thing. Time is not on your side babu. Hebu achana na kutaka kufia kwenye kiti, Uking'ang'ania sana watu hawataishia kukuita Mugabe wataanza kukuita Mobutu, utajisikiaje watu wakianza kukuita UNCLE TOM KUKUNGBEDU WA ZABANGA?. Yaani wewe mzee unamuamini Samia aliyekuweka Jela kwa miezi minane kuliko makamanda wako akina Lissu, Heche, Lema na wengineo mliokuwa nao kwenye trenches kwa miaka zaidibya 20?. Wewe babu umekula maharage ya wapi mzee?.

7. Mwisho kabisa nataka nihitimishe kwa kusema kuwa, Ndugu Mbowe chama umekifanyia makubwa, umefanya mengi mazuri. Hatukukatai kwa yale mazuri uliyoyafanya, bali tunakukataa kwa yale ambayo hukuyafanya, huyafanyi na wala huonyeshi zeal au nia ya kuyafanya. Wananchi tumechoka kuibiwa kura, Wananchi tumechoka kutekwa na kupotezwa, Wananchi tumechoka rasilimali zetu kutapanywa. Hatuoni FIRE wala ZEAL ya kupambana na hali hiyo. Na badala yake nyinyi badala ya kutoa uongozi kwa wananchi kuconfront ujinga huo, mmetugeuzia kibao kwa kutuita eti sisi ni waoga, Waoga kivipi wakati nyie mlio front hamtuonyeshi njia, mbinu, ujasiri wa kurudia tena na tena mpaka hilo jambo lifanikiwe. Wewe unapokuwa kiongozi inabidi uonyeshe njia, ukifeli kuonyesha njua basi hufai kaa pembeni. Mzee Mbowe nimalizie kwa kusema kuwa NOW YOU CANNOT STAND THE HEAT, STAY OUT OF THE KITCHEN.
Kama mpaka sasa unamuamini mbowe ataivusha cdm huna akili. Hufai kuwa cdm.
 
Nadhani umeandika mapovu na ujinga bila kujua huyo wa kuwapeleka huko ni nani.

Twende sawa utaelewa.Wanasema baharia mzuri hujulikana wakati wa dhoruba.

Wakati wa dhoruba huyo unaempigia chapua alikimbia Nchi akiogopa eti Kukamatwa na kusingizia kuuwawa.

Unaedai ana siasa za ki tomboy alivumilia vipindi vyote akafingwa jela,akafilisiwa na kudhalilishwa ila hakukimbia licha ya kupewa ofa kama zote.

Eti Leo dhoruba imetulia,nahodha amevusha chombo mnaibuka punguani Fulani mnadai kwamba huyu aliyewavusha kwenye dhoruba hafai ila aliyekimbia dhoruba.

Upumbavu wa hivi uko kwenye Vyama vya wajinga kama Chadema.

Mwisho tegemeeni tuu mazingira magumu ya Kisiasa kurudi tuone mtu wenu kama hatorudi Ubelgiji 😆 😆
 
Jipya pekee na la maana ambalo nalitegemea ktk hiyo press conference ni yeye kuachia ngazi kama mwenyekiti au kujitoa kugombea maana kugonbea kwake japo ni haki yake ya kikatiba kunakigawa chama, hakuna mustakabali mwema kwa chama.

Nje ya hilo basi itakuwa more of the same, hana jipya, ni yaleyale tu.
Content ya maandiko yako imejaa utamaduni wa ccm. Siasa inajengwa kwa chaguzi; sio teuzi. Wacha kiti kigombewe usilete uccm
 
Nadhani umeandika mapovu na ujinga bila kujua huyo wa kuwapeleka huko ni nani.

Twende sawa utaelewa.Wanasema baharia mzuri hujulikana wakati wa dhoruba.

Wakati wa dhoruba huyo unaempigia chapua alikimbia Nchi akiogopa eti Kukamatwa na kusingizia kuuwawa.

Unaedai ana siasa za ki tomboy alivumilia vipindi vyote akafingwa jela,akafilisiwa na kudhalilishwa ila hakukimbia licha ya kupewa ofa kama zote.

Eti Leo dhoruba imetulia,nahodha amevusha chombo mnaibuka punguani Fulani mnadai kwamba huyu aliyewavusha kwenye dhoruba hafai ila aliyekimbia dhoruba.

Upumbavu wa hivi uko kwenye Vyama vya wajinga kama Chadema.

Mwisho tegemeeni tuu mazingira magumu ya Kisiasa kurudi tuone mtu wenu kama hatorudi Ubelgiji 😆 😆
Ngoja utandikwe risasi 16 halafu ukomae usikimbie tukupeleke pale Muhimbili, then uje kuongea hicho ulichosema. Medani za kivita zinaruhusu kukimbia uwanja wa vita hali ikiwa mbaya, then unarejea baadae kuendeleza mapambano.
 
Back
Top Bottom