ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Ngoja Tusubiri tuone Mbowe mwenyewe atasemaje kuhusu kila kitu kilichotokea !Kutukana na kudhalilisha mtu sio mtizamo aisee
Lisu alikuwa akitukana na kumdhalilisha Mbowe.Hawakutofautiana kimtizimo.bali kimatusi na kudhalilishana .Lisu akiwa kinara wa kumtukana na kumdhalilisha Mbowe
Tofauti ya mitizamo mbona huwa ruksa tu .Lakini Lisu alichofanya sicho kabisa
Kuweka record sawa
Sisi tusimlishe maneno !!