Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa anapanga kwenda kumtembelea mwenyekiti wa zamani

Mbona mama samia huwa anamtembelea Mzee jk?

Mbona Rais mwinyi uwa anamtembelea Mzee Amani?

Hayo ni mambo ya kawaida Tu

Jambo wakifanya ccm ni Sawa ila wakifanya upinzani ni makosa
Ulishawahi kuwasikia hao wanaotembeleana wa CCM kuwa waliwahi tukanana na kudhalilishana kama ambavyo Lisu alimfanyia Mbowe? Hao hawajawahi

Lisu ki.ukweli alienda beyond red line kumdhalilisha Mbowe
 
Amebaki anazurula zurula tu bila kuelewa hata afanye nini. Nilishasema kuwa lissu hawezi kuongoza zaidi ya kuongozwa . Familia tu Imemshinda kuiongoza. Ni vipi sasa ataweza kuiongoza CHADEMA???????
hivi ile bullet proof vest siku hizi havai tena?

chairman wa zamani kadingiziwa mambo mengi sana aise
 
kwa matusi yale chadema , eti jamaa anapanga kwenda kumsabahi mwenyekiti wa zamani nyumbani kweke,

huo si ndio unafiki huo jamani?🐒
 
SIASA SIO UADUI GENTLEMEN !
Inaposemwa siasa sio uadui maana yake siasa inatakiwa kutofautiana kimawazo lakini sio kudhalilishana kama maafui kams ambavyo Lisu alimfanyia Mbowe

Ule aliofanya Lisu ni uadui mkubwa sio siasa ile kabisa.Nakataa looo.Haungulii kabisa kwenye hiyo tafsiri ya siasa sio uadui

Mzee Mbowe alidhalilishwa na Lisu jamani acha tu
 
kwa matusi yale chadema , eti jamaa anapanga kwenda kumsabahi mwenyekiti wa zamani nyumbani kweke,

huo si ndio unafiki huo jamani?🐒
Lisu anatakiwa kupewa nishani ya unafiki uliokubuhu

Mbowe kwa sasa kama alivyoamua kukaa kimya kaiachia jamii ipime yenyewe

Akina Lisu waheshimu privacy yake.Waache kumsumbua Mzee wa watu

Kuwa wanaenda kumuona kuwa anaendeleaje na majeraha ya moyo waliyomuumiza kwa kumdhalilisha au?

Wamwache mzee wa watu ajiuguze na apumzike.
Unafiki wao wapeleke kwao huko
 
Wasira anakutana na Ndugai Jmosi. Watajadili, pamoja na mambo mengine, uchaguzi mkuu wa mwaka huu na deni la taifa linaloongezeka kwa kasi ya kutisha.
Hapo Lazima Mashushushu yatumwe yakachunguze Ndugai ana sumu gani kwa sasa.
 
Uchongani
Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.

Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.

Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.

Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..

Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Uchonganishi ni dhambi mbaya Sana.
 
Ulishawahi kuwasikia hao wanaotembeleana wa CCM kuwa waliwahi tukanana na kudhalilishana kama ambavyo Lisu alimfanyia Mbowe? Hao hawajawahi

Lisu ki.ukweli alienda beyond red line kumdhalilisha Mbowe
Alimdharirisha upande upi? Hebu mtuache chadema
 
Amebaki anazurula zurula tu bila kuelewa hata afanye nini. Nilishasema kuwa lissu hawezi kuongoza zaidi ya kuongozwa . Familia tu Imemshinda kuiongoza. Ni vipi sasa ataweza kuiongoza CHADEMA???????
Lisu sehemu anayoweza hata kuonekana ni akiwa chini ya mtu mwingine

Huo uenyekiti hauwezi kabisa na hatauweza hana akili wala uwezo wa hicho cheo

Hicho cheo kwake ni oversize
 
Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.

Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.

Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.

Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..

Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sio kama hapo kwenu hamwachiani maji ya kunywa mezani licha ya kutembeleana nyumbani.
 
Lisu sehemu anayoweza hata kuonekana ni akiwa chini ya mtu mwingine

Huo uenyekiti hauwezi kabisa na hatauweza hana akili wala uwezo wa hicho cheo

Hicho cheo kwake ni oversize
Chukua wa hapo kwenu,kwani wa huku hata hautauweza.
 
hivi ile bullet proof vest siku hizi havai tena?

chairman wa zamani kadingiziwa mambo mengi sana aise
Muda siyo mrefu ataanza kutembea kifua wazi. Maana kwa sasa amechanganyikiwa kabisa . Uenyekiti wa CHADEMA siyo sawa na kupiga porojo kwenye Maria Space na kudanganyana na kujazana ujinga jinga tu.
 
Hivi tunawezaje kumuamini mtu mchawi kama wewe unaandika thread ukiwa uchi umezungukwa na mahirizi na matunguli huku ukiwa umekaa kwenye kibuyu kilicho wazi chenye damu mku*** unachungulia kwenye kibuyu
 
Hivi tunawezaje kumuamini mtu mchawi kama wewe unaandika thread ukiwa uchi umezungukwa na mahirizi na matunguli huku ukiwa umekaa kwenye kibuyu kilicho wazi chenye damu mku*** unachunguliwa kwenye kibuyu
 
Lissu atakuwa amefanya jambo jema! Unajuaje kama Lissu anaenda kuyamaliza na Mbowe?
Wakati wewe unaumia kwa ajili huenda Mbowe haumii!
 
Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.

Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.

Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.

Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..

Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kama cdm ilifanya uchaguzi wa haki,huru na wa wazi haya mawazo yako yanatoka wapi? Kwani ktk hao wawili kuna alielalamikia matokeo? Ni hivi uchaguzi uliofanywa ni wa wanachama sio Lisu wala Mbowe,yawapasa mgange yajayo
 
Inaposemwa siasa sio uadui maana yake siasa inatakiwa kutofautiana kimawazo lakini sio kudhalilishana kama maafui kams ambavyo Lisu alimfanyia Mbowe

Ule aliofanya Lisu ni uadui mkubwa sio siasa ile kabisa.Nakataa looo.Haungulii kabisa kwenye hiyo tafsiri ya siasa sio uadui

Mzee Mbowe alidhalilishwa na Lisu jamani acha tu
Mimi naamini Lissu na Mbowe bado ni kitu kimoja !
Yale yalikuwa ni mapito tu ya tofauti za mitazamo !
Lakini wale bado ni kitu kimoja kilicho kamilika 😳
Mark my words na uweke akiba ya maneno 🙌🙏👍
 
Kutukana na kudhalilisha mtu sio mtizamo aisee

Lisu alikuwa akitukana na kumdhalilisha Mbowe.Hawakutofautiana kimtizimo.bali kimatusi na kudhalilishana .Lisu akiwa kinara wa kumtukana na kumdhalilisha Mbowe

Tofauti ya mitizamo mbona huwa ruksa tu .Lakini Lisu alichofanya sicho kabisa

Kuweka record sawa
 
Back
Top Bottom