Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No offence intended, sorry madam!kwanini kwenye mambo yasiyojenga ndiyo mnatumia jinsia yetu...?? kwamba mama zetu, wake zenu, dada na watoto wenu wa kike ndiyo wana tabia za ajabu..??
NONSENSE.Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.
Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.
Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.
Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..
Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Msalimie Mmachame wako 😂ni unafiki 🐒
wewe ni mmoja ya vijana wa hovyo walioko duniani. jua hilo kama ulikuwa hujijuikama kuwaza uzinifu na uzinzi ni dhambi, sembuse kuwaza kutukana? huu si ndio unafiki wenyewe sasa ndrugu zango?
Mungu akuhurumie gentleman 🐒
My lady,Tlaatlaah ana mimba ya wiki 7.zinasumbuaga hujui nini unataka
tunaelekea Singida gentleman, na na kwenye hotuba iliyojaa unafiki wa kiwango cha juu sana ya mwenyekiti mpya, mwenyekiti wa zamani atasifiwa sana kinafiki kwa kazi nzuri iliyotukuka aloifanya kwenye uongozi wake 🐒Msalimie Mmachame wako 😂
Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.
Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.
Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.
Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..
Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Unafiki mnakuwa nao ninyi waabudu majini na mizimu.Yes,
sure ni wazi wana upendo wa kinafiki sana 🐒
Njoo nikuoe bibiye, si unajua Sina tabia hizo?kwanini kwenye mambo yasiyojenga ndiyo mnatumia jinsia yetu...?? kwamba mama zetu, wake zenu, dada na watoto wenu wa kike ndiyo wana tabia za ajabu..??
mwenyekiti mpya wa chadema si alisema hadharini kwamba haendi tena kumanga msosi nyumbani kwa chairman wa zamani kwasabb sio salama tena baada ya kutwezana utu na kusingizia mambo mazito na ya aibu mno gentleman?Wewe mnafiki utahangaika sana na huo ushetano wako, huku Mbowe na Lisu wakiwa hawana uhasama wowote.
Wanatofautiana katika mtazamo lakini hawajawahi kuwa maadui hata simu moja.
Ninyi wenye roho ya shetani mtahangaika sana kutaka Mbowe na Lisu wawe maadui lakini hamtafanikiwa kamwe.
Hongera Mbowe, hongera Lisu kwa kudumisha umoja wenu. Yaacheni mashetani yahangaike na kusubiria mafarakano ambayo hayatakuwepo.
Haya mashetani ndiyo yalikuwa yanajitahidi kuutweza utu na ubinadamu wa Lisu na Mbowe ili kuleta mafarakano wakati wa uchaguzi. Baada ya kushindwa lengo lao, yamebakia kubwabwaja na hoja za kijinga kama hii ya kutembeleana.
Mbowe na Lisu endeleeni kuyatesa haya mashetani kwa kuendelea na mahusiano yenu kama ilivyo ada,mpaka haya mashetani yapotee kwa kihoro.
Si mwanamke huyokwanini kwenye mambo yasiyojenga ndiyo mnatumia jinsia yetu...?? kwamba mama zetu, wake zenu, dada na watoto wenu wa kike ndiyo wana tabia za ajabu..??
Acha kuleta hoja zako za kijingaMama Ima epuka kuwatweza wamama tafadhali,
na ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani ni hekima kupiga kimya tu 🐒
Labda akijifungua atakaa sawaTlaatlaah ana mimba ya wiki 7.zinasumbuaga hujui nini unataka
UWT jamani acheni ujingamama Ima, we si katibu wa BAWACHA kata ya sombetini, na ulikua miongoni mwa wachoma vitenge vya Dr.Samia Suluhu Hassan.
ndio maana hurefukagi wewe, kafupi, mdomo tu !🐒
Wenye majeraha mioyoni ni wale waliojiaminisha kuwa uenyekiti ni nafasi binafsi ya mbowe.Lakini kama mnakumbuka vizuri mwenyekiti mstaafu alitoa ushauri huu kwenye hoyuba yake ya mwisho kama mwenyekiti kwamba mwenyekiti mpya afanye namna yakuweza kukiponya chama mara baada ya uchaguzi maana waliraruana kiasi kwamba kuna wengine wanamajeraha mioyoni mwao hivyo hizi ndizo jitihada zenyewe za kufanya reconciliation.