Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa anapanga kwenda kumtembelea mwenyekiti wa zamani

ni k

ni kwa vile matukano ni dhambi. Ningekutukana.

JESUS IS LORD&SAVIOR
kama kuwaza uzinifu na uzinzi ni dhambi, sembuse kuwaza kutukana? huu si ndio unafiki wenyewe sasa ndrugu zango?

Mungu akuhurumie gentleman 🐒
 
Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.

Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.

Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.

Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..

Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
NONSENSE.
 
wewe ni mmoja ya vijana wa hovyo walioko duniani. jua hilo kama ulikuwa hujijui
 
Tlaatlaah ana mimba ya wiki 7.zinasumbuaga hujui nini unataka
My lady,
ni muhimu sana kuepuka kuwabeza au kuwanyanyapaa wajawazito waliomo humu jukwaani ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani .

Tuwaombee ustahimilivu na subra wote wenye hali uliyoitaja, na kwa Neema na Baraka za Mungu hatimae wote wajifungue salama,

Tujikite kwenye hoja na itapendeza zaidi 🐒
 
Msalimie Mmachame wako 😂
tunaelekea Singida gentleman, na na kwenye hotuba iliyojaa unafiki wa kiwango cha juu sana ya mwenyekiti mpya, mwenyekiti wa zamani atasifiwa sana kinafiki kwa kazi nzuri iliyotukuka aloifanya kwenye uongozi wake 🐒
 
Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.

Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.

Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.

Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..

Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Wewe mnafiki utahangaika sana na huo ushetano wako, huku Mbowe na Lisu wakiwa hawana uhasama wowote.

Wanatofautiana katika mtazamo lakini hawajawahi kuwa maadui hata simu moja.

Ninyi wenye roho ya shetani mtahangaika sana kutaka Mbowe na Lisu wawe maadui lakini hamtafanikiwa kamwe.

Hongera Mbowe, hongera Lisu kwa kudumisha umoja wenu. Yaacheni mashetani yahangaike na kusubiria mafarakano ambayo hayatakuwepo.
Haya mashetani ndiyo yalikuwa yanajitahidi kuutweza utu na ubinadamu wa Lisu na Mbowe ili kuleta mafarakano wakati wa uchaguzi. Baada ya kushindwa lengo lao, yamebakia kubwabwaja na hoja za kijinga kama hii ya kutembeleana.

Mbowe na Lisu endeleeni kuyatesa haya mashetani kwa kuendelea na mahusiano yenu kama ilivyo ada,mpaka haya mashetani yapotee kwa kihoro.
 
mwenyekiti mpya wa chadema si alisema hadharini kwamba haendi tena kumanga msosi nyumbani kwa chairman wa zamani kwasabb sio salama tena baada ya kutwezana utu na kusingizia mambo mazito na ya aibu mno gentleman?

au unajifanya umesahau?
na huo si ndio unafiki wenyewe sasa gentleman 🐒
 
Unafiki mnakuwa nao ninyi waabudu majini na mizimu.
relax gentleman,
soon picha za kinafiki zaidi ya ile ya ziara ya kulazimisha kwenda kwa mzee warioba zitatokwa hadharini 🐒
 
Lakini kama mnakumbuka vizuri mwenyekiti mstaafu alitoa ushauri huu kwenye hoyuba yake ya mwisho kama mwenyekiti kwamba mwenyekiti mpya afanye namna yakuweza kukiponya chama mara baada ya uchaguzi maana waliraruana kiasi kwamba kuna wengine wanamajeraha mioyoni mwao hivyo hizi ndizo jitihada zenyewe za kufanya reconciliation.
Wenye majeraha mioyoni ni wale waliojiaminisha kuwa uenyekiti ni nafasi binafsi ya mbowe.

Hawaamini mpaka leo kwamba mbowe kashindwa kihalali. Wapo humu kina Retired wanadai kilichofanywa na Lissu ni mapinduzi, utawasaidia vipi wajinga kama hawa?

Ni wachache sana, hawawezi kuwa na madhara yoyote kwa chama.
 
Back
Top Bottom