Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM