Mbona kwa mada hii inaonekana wewe ndiye mnafiki Sasa?!!!
Anyway, hamuwezi kunyamaza kamwe kwa kikwete hata afanye nini. Akikaa kimya pia mtasema lenu.
Swali dogo tu, tukiweka huo unafiki wako pembeni, wakati wa JPM nani alikuwa ana uthubutu wa kushauri lolote?!!! Hivi sio nyie mliokuwa mnashangilia ile 'kuna wastaafu wanawashwawashwa'?!!!! Mnafiki mkubwa we.
Halafu; mbona JPM akiwa waziri alimsifia sana jk kusafiri nje wakati akiwa Raisi lakini alipoingia ikulu JPM huyo huyo alimponda vikali jk kuwa alikuwa anasafiri nje hovyo hovyo Hadi akashindwa kuwatembelea bibi zake vijijini?!!!!! Mmewahi hata siku Moja kumuita mnafiki huyo JPM?!! Chuki zenu kwa jk zinazidi kumneemesha kama hamjui.