Wewe ndiyo mnafiBwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
Pole ndo umekua LeoBwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
Na mambo ya hovyo yote yameanzia kwa JPM.Mbona kwa mada hii inaonekana wewe ndiye mnafiki Sasa?!!!
Anyway, hamuwezi kunyamaza kamwe kwa kikwete hata afanye nini. Akikaa kimya pia mtasema lenu.
Swali dogo tu, tukiweka huo unafiki wako pembeni, wakati wa JPM nani alikuwa ana uthubutu wa kushauri lolote?!!! Hivi sio nyie mliokuwa mnashangilia ile 'kuna wastaafu wanawashwawashwa'?!!!! Mnafiki mkubwa we.
Halafu; mbona JPM akiwa waziri alimsifia sana jk kusafiri nje wakati akiwa Raisi lakini alipoingia ikulu JPM huyo huyo alimponda vikali jk kuwa alikuwa anasafiri nje hovyo hovyo Hadi akashindwa kuwatembelea bibi zake vijijini?!!!!! Mmewahi hata siku Moja kumuita mnafiki huyo JPM?!! Chuki zenu kwa jk zinazidi kumneemesha kama hamjui.
Kamuongezea jk sio Mungu.Impossible jk kashasema tumemuongeza mitano sijui utkw umeelewa apo
Siungi mkono CCM na magenge yake ya utekaji, ila Hiyo ni kweli hajaongopa,
Eti nchi imetulia😁😁 huyu jk ni nouma
Kikwete kazeeka sana! lakini anadhani ana miaka 25!Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
AhsanteNafikiri mleta mada anazungumzia unafiki, sio uongo wala ukweli.
Kama kuna wafanyabiashara walikimbia enzi za JPM, yeye alikosoa? Kama alitoka na kumsifia JPM kama anavyofanya kwa Samia basi hoja ya mleta mada inapata mashiko.
SaigoniJK ni mtoto wa mujini.
Neema huwa zinatoka wapi?Mbona kwa mada hii inaonekana wewe ndiye mnafiki Sasa?!!!
Anyway, hamuwezi kunyamaza kamwe kwa kikwete hata afanye nini. Akikaa kimya pia mtasema lenu.
Swali dogo tu, tukiweka huo unafiki wako pembeni, wakati wa JPM nani alikuwa ana uthubutu wa kushauri lolote?!!! Hivi sio nyie mliokuwa mnashangilia ile 'kuna wastaafu wanawashwawashwa'?!!!! Mnafiki mkubwa we.
Halafu; mbona JPM akiwa waziri alimsifia sana jk kusafiri nje wakati akiwa Raisi lakini alipoingia ikulu JPM huyo huyo alimponda vikali jk kuwa alikuwa anasafiri nje hovyo hovyo Hadi akashindwa kuwatembelea bibi zake vijijini?!!!!! Mmewahi hata siku Moja kumuita mnafiki huyo JPM?!! Chuki zenu kwa jk zinazidi kumneemesha kama hamjui.
Kwa Mungu muumba; yeye hapendi majungu, hapendi fitina, hapendi wivu, hapendi husda hivyo humbariki yule anayeonewa.Neema huwa zinatoka wapi?