Ngosha alishasema yeye hashauriki na ukimshauri ndo umeharibu kabisaaaaaBwana mzee wetu kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi samia suluhu hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hkumshairi JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
Asingekufa hebu nichungulie jina lako asingekufa asingekufa napitaHaha..hawa jamaa kiboko yao alikua ni Magu, kosa la Magu alitushugurikia watu wote, akakosa support, laiti angebaki akishughurika na the establishment bila shaka asinge kufa, alipoanza kudeal na vyeti feki, watu wanakufa kwa presha..hapo ndo alichemka..
Haha..hawa jamaa kiboko yao alikua ni Magu, kosa la Magu alitushugurikia watu wote, akakosa support, laiti angebaki akishughurika na the establishment bila shaka asinge kufa, alipoanza kudeal na vyeti feki, watu wanakufa kwa presha..hapo ndo alichemka..
Wafanya biashara wenyewe ni RostamBwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
Nje ya mada, hivi ni kweli fisi wanakulana!
Mbona kwa mada hii inaonekana wewe ndiye mnafiki Sasa?!!!Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
Wale wa IPTL ndo walikimbia uliona Azam anakimbiaBwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM
Wenye vyeti feki hamtokaa mumsahau huyo baba.Haha..hawa jamaa kiboko yao alikua ni Magu, kosa la Magu alitushugurikia watu wote, akakosa support, laiti angebaki akishughurika na the establishment bila shaka asinge kufa, alipoanza kudeal na vyeti feki, watu wanakufa kwa presha..hapo ndo alichemka..
Kikwete ni kizee ambacho gakina Legacy yoyote ya maana wala hakijawahinkusema chochote cgenye maslahi kwa umma.Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni unafiki wa viwango vya lami
R.I.P JPM