GE2025 Mwenyekiti mstaafu wa CCM(Kikwete) leo ndio nimejua ni mnafiki wa kupindukia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe ndiyo mnafi
 
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
Pole ndo umekua Leo

Km Kuna kisa lilifanyika basi pwani kuwa kiongozi.....
 
Na mambo ya hovyo yote yameanzia kwa JPM.
Kikwete hana deni
 
Siungi mkono CCM na magenge yake ya utekaji, ila Hiyo ni kweli hajaongopa,
Nafikiri mleta mada anazungumzia unafiki, sio uongo wala ukweli.

Kama kuna wafanyabiashara walikimbia enzi za JPM, yeye alikosoa? Kama alitoka na kumsifia JPM kama anavyofanya kwa Samia basi hoja ya mleta mada inapata mashiko.
​
 
Kikwete kazeeka sana! lakini anadhani ana miaka 25!
 
Nafikiri mleta mada anazungumzia unafiki, sio uongo wala ukweli.

Kama kuna wafanyabiashara walikimbia enzi za JPM, yeye alikosoa? Kama alitoka na kumsifia JPM kama anavyofanya kwa Samia basi hoja ya mleta mada inapata mashiko.
​
Ahsante
 
Neema huwa zinatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…