TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464


Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Imani Madega amefariki dunia leo nyumbani kwake Chalinze, Mkoa wa Pwani.

Madega anatarajiwa kuzikwa kesho Chalinze nyumbani kwake. Kiongozi huyo atakumbukwa na Wanachama wa Yanga SC kama moja ya viongozi majabali na kuacha kiasi cha Sh. Mil 200 katika akaunti za klabu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…