TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

Huyu ndie Mwenyekiti wa Klabu ya Uto ambae alikua Mwanasheria aliewapa mdomo Makolo kwa zile 5-0 walizokuwa wanatamba nazo.
Kulikua na mgogoro mkubwa wa kiuongozi pale klabuni Jangwani.
Jamaa akalazimishwa aachie ngazi ya Uongozi akagoma, wakajatibu kufanya mapinduzi ikashindikana.
Wazee wa YANGA waka mwambia subiri,utatoka tuu.
Kulikua kunakaribia mechi ya Ligi derby ya KARIAKOO.Baada ya mechi hazikupita siku 2 aliachia ngazi.
Kumbe kumbukumbu za mkono mnazo..
 
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Imani Madega amefariki dunia leo nyumbani kwake Chalinze, Mkoa wa Pwani.

Madega anatarajiwa kuzikwa kesho Chalinze nyumbani kwake. Kiongozi huyo atakumbukwa na Wanachama wa Yanga SC kama moja ya viongozi majabali na kuacha kiasi cha Sh. Mil 200 katika akaunti za klabu hiyo.

View attachment 2899633

Apumzike kwa amani Imani Madega
 
Huyu ndie Mwenyekiti wa Klabu ya Uto ambae alikua Mwanasheria aliewapa mdomo Makolo kwa zile 5-0 walizokuwa wanatamba nazo.
Kulikua na mgogoro mkubwa wa kiuongozi pale klabuni Jangwani.
Jamaa akalazimishwa aachie ngazi ya Uongozi akagoma, wakajatibu kufanya mapinduzi ikashindikana.
Wazee wa YANGA waka mwambia subiri,utatoka tuu.
Kulikua kunakaribia mechi ya Ligi derby ya KARIAKOO.Baada ya mechi hazikupita siku 2 aliachia ngazi.
Acha uongo we nguchiro,mwwnyeki alikuwa Chunga
 
Amani ya kutoka wapi! Hivi mnadhani kule ukifika unakunja 4 unakula bata sio! Wewe na matendo yako ndio yatakayokusaidia, mbali na hapo ni jahannam.
Ulipatembelea lini??safari ijayo nishtue nami nikayashuhudie hayo
 
Back
Top Bottom