TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

R.I.P Madega

Katika watu walioipenda yanga kuanzia utoto hadi kuja kuwa kiongozi..tena Yanga lia lia..nakumbuka kabla ya kuwa kiongozi ulikuwa shabiki hasa jukwaani ukivua shati na kuchezesha tumbo enzi uko chuo..Mungu akuweke mahali pema panapostahili kaka yangu Adv Iman Madega
 
Dah mbona Mangu×2 imeshindikana
R.i.p madega
 
Hahahahahaha..yule alikua Lyod Nchunga...aliyemtoa Madega...enzi ya Madega hakufungwa 5 na simba

Yanga ya Lyod Nchunga na makamu wake David Mosha ndio walipigwa 5..baada ya hapo mwenyekiti akachukua Manji
 
Siyo kweli weka kumbu kumbu vizuri Madega aligombana na Manji Makolo walishinda 5 uongozi wa Nchunga siyo Madega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…