Mkuu mbona umeripoti kirahisi hivyo taarifa ngumu namna hii?
Zamani watu walikuwa wanaishi miaka mia 900Mkuu long life ndio IPI na Short ndio ipi? Maana jamaa amezaliwa 1944, sasa kama kama kuna vijana kama akina Ruge ni 70's wamevuta, hapo short ni ipi na long ni ipi?
umemwelewesha vizuri ila hapo mwishoni umechekesha "eti wakati nyie mnabarikiwa akili wengine walikuwa wapi"[emoji23][emoji23][emoji23]Siku zingine kama hujui Jambo Kwanza uliza Kuliko ' Kukurupa ' katika Kulaumu. Magazeti mengi huwa yanakuwa tayari Kuchapishwa kati ya Saa 3 hadi Saa 5 Usiku na mengi mida hiyo hiyo ndiyo huwa yanakuwa yanasafirishwa kuelekea Mikoa na maeneo mbalimbali ya nchi. Mzee Mengi kwa mujibu wa taarifa amefariki Saa 7 usiku wa Kuamkia leo kwahiyo ulitaka Wahariri au Mhariri Mkuu awapigie Simu Madereva wote waliobeba Magazeti kuyapeleka Mikoani ambao wengine walikuwa wapo Chalinze na wengine Dumila wageuze haraka warudi Dar es Salaam ili wayashushe yawekewe hii taarifa kisha waanze tena Kuyasafirisha huko? Hivi unajua maana ya Vyombo vya Habari vingi Siku hizi kuwa na Kurasa zao za Mitandao mbalimbali ya Kijamii kama Facebook, Instagram na Twitter? Hii taarifa ni kweli haipo katika Gazeti la Nipashe la leo ila katika Mtandao wa Nipashe ipo tokea muda tu.
Hivi Watu wengine wakati Mwenyezi Mungu ' anatubariki ' wengine ' Akili ' Kubwa nyie wengine mlikuwa wapi hadi mnakuwa wa ' hovyo hovyo ' hivi?
Mkuu walikua na wanasheria kila kitu kiko well documented na watoto wake wanafanyakazi pale wanajua kila kitu kuhusu managementWanafamilia watakaoachiwa hayo makampuni wawe makini kama marehemu wakati wa uhai wake ili watanzania tuendelee kupata huduma bora kama maji ya kunywa ya kilimanjaro.
Tatizo la family business ni uhakika wake baada ya head of the family kuondoa jumla.
ha ha ha ha ha ha JF kama kokoro mkuu humu kuna samaki mijusi majani kaa matumbawe na kila kituYaani badala ya kutoa pole watu wameingiza Siasa 😀😀😀
NiniItakuwaje sasa nauliza
Aisee kuna watu wa ajabu sanaha ha ha ha ha ha JF kama kokoro mkuu humu kuna samaki mijusi majani kaa matumbawe na kila kitu
Mhubiri
3:1-2
1 Kwa kila jambo kuna majira yake,
Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.
2 Wakati wa KUZALIWA, na wakati wa KUFA;
Wakati wa kupanda, na wakati wa kung’oa yaliyopandwa;