TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Ugumu wake ni upi hapo?? Kifo ni lazima kwa kila kiumbe kilicho hai. Kuna watu huwa mnajitoa ufahamu mpaka kufikia kutamka maneno ya hovyo sana pale vinavyo tokea vifo vya hawa watu wenu mnao waita maarufu.
Mkuu mbona umeripoti kirahisi hivyo taarifa ngumu namna hii?
 
Ila ame enjoy life hapa mwishoni mwishoni atakua amekufa na amani kabisa.
 
Mkuu long life ndio IPI na Short ndio ipi? Maana jamaa amezaliwa 1944, sasa kama kama kuna vijana kama akina Ruge ni 70's wamevuta, hapo short ni ipi na long ni ipi?
Zamani watu walikuwa wanaishi miaka mia 900
 
Siku zingine kama hujui Jambo Kwanza uliza Kuliko ' Kukurupa ' katika Kulaumu. Magazeti mengi huwa yanakuwa tayari Kuchapishwa kati ya Saa 3 hadi Saa 5 Usiku na mengi mida hiyo hiyo ndiyo huwa yanakuwa yanasafirishwa kuelekea Mikoa na maeneo mbalimbali ya nchi. Mzee Mengi kwa mujibu wa taarifa amefariki Saa 7 usiku wa Kuamkia leo kwahiyo ulitaka Wahariri au Mhariri Mkuu awapigie Simu Madereva wote waliobeba Magazeti kuyapeleka Mikoani ambao wengine walikuwa wapo Chalinze na wengine Dumila wageuze haraka warudi Dar es Salaam ili wayashushe yawekewe hii taarifa kisha waanze tena Kuyasafirisha huko? Hivi unajua maana ya Vyombo vya Habari vingi Siku hizi kuwa na Kurasa zao za Mitandao mbalimbali ya Kijamii kama Facebook, Instagram na Twitter? Hii taarifa ni kweli haipo katika Gazeti la Nipashe la leo ila katika Mtandao wa Nipashe ipo tokea muda tu.

Hivi Watu wengine wakati Mwenyezi Mungu ' anatubariki ' wengine ' Akili ' Kubwa nyie wengine mlikuwa wapi hadi mnakuwa wa ' hovyo hovyo ' hivi?
umemwelewesha vizuri ila hapo mwishoni umechekesha "eti wakati nyie mnabarikiwa akili wengine walikuwa wapi"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafamilia watakaoachiwa hayo makampuni wawe makini kama marehemu wakati wa uhai wake ili watanzania tuendelee kupata huduma bora kama maji ya kunywa ya kilimanjaro.
Tatizo la family business ni uhakika wake baada ya head of the family kuondoa jumla.
Mkuu walikua na wanasheria kila kitu kiko well documented na watoto wake wanafanyakazi pale wanajua kila kitu kuhusu management
 
Huyu baba kaniuma kama mzazi wangu,
i'm speechless for sure.
Na sisi tuko njia moja.
 
Mzee Mengi ni kati ya Watu/waliofanikiwa walioni'inspire sana na kunifanya niishi katika fikra za kufanikisha Kila ninachokianzisha.....R.I.P mzee Mengi you deserve a paradise!!!
 
Kama vile ilikuwa imeshaandaliwa inasubiriwa tu kuwa released
 
Tanzania na dunia inapoteza watu muhimu sana! Pole kwa familia, pole kwa wapenda maendeleo!
 
For the English audince: Acclesiastes 3:1-8:
To every thing there is a season,
and a time to every purpose under the heaven:
A time to be born, a time to die;
a time to plant, and a time to pluck up that which is planted;
A time to kill, and a time to heal;
a time to break down, and a time to build up;
A time to weep, and a time to laugh;
a time to mourn, and a time to dance;
A time to cast away stones, and a time to gather stones together;
a time to embrace, and a time to refrain from embracing;
A time to get, and a time to lose;
a time to keep, and a time to cast away;
A time to rend, and a time to sew;
a time to keep silence, and a time to speak;
A time to love, and a time to hate;
A time of war, and a time of peace.
Mhubiri
3:1-2


1 Kwa kila jambo kuna majira yake,
Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.

2 Wakati wa KUZALIWA, na wakati wa KUFA;
Wakati wa kupanda, na wakati wa kung’oa yaliyopandwa;
 
Back
Top Bottom