Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha masihara kwenye mambo ya msingiUmetoa wapi hii taarifa
Acheni unafiki ..hichi ni kifo cha mzee wetu...mambo ya private issues yanatokea wapi hapa..wabongo wachawi hamjapewa matunguli tuYaani kweli wanavyosema ile siku ya ndoa kilichofungwa na Mungu binadamu hawezi kukivunja.
Yani we ni kambea sijaona mfanoweIla ame enjoy life hapa mwishoni mwishoni atakua amekufa na amani kabisa.
Maradhi ya umri mkubwa mkuu, hiyo tarehe yake ya kuzaliwa rudisha nyuma mara nane,kumbuka zamani walikuwa wanarudisha miaka nyuma kupata scholarship.Ndio matatizo ya kuzoea kuandika habari za udaku
Mzee Mengi kafa R.I.P
Lakini cause ni nini? Hakuna kitu kinachokera kwenye habari kama pale unapoachwa ujazie mwenyewe.
Was it stroke
Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa muda mrefu
Or what exactly is the cause