Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,471
- 2,891
Lala salama mzee Mengi. Wewe ni Kati ya wachache ndani ya nchi hii na dunia kwa ujumla uliyetufunza kwamba kila mwanadamu anaweza kufanya Jambo la maana kama akijitambua na kuchukua uamuzi. Nmesikikitika sana, ni juzi ulikuwa na mkuu wetu wa mkoa wa Dar, sasa sijui kwa nn haya yametokea.