TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Pumzika kwa amani Mzee, mema yako yataishi nasi, milele.
 
Poleni sana wana familia,pole sana Jack na watoto,mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
REST IN PEACE DR.

but katika historia mbona kuna sehemu mmeruka inamaana hajawah kufanya kazi BOT au kuna mengine hayatakiwi
 
Pumzika kwa amani Dr REGNALD ABRAHAM MENGI. Pole kwa famiia
 
Duniani wote tu wapitaji, RIP Reginald Mengi!
 
"Attention na sida"
 
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP na moja ya watu matajiri na mashuhuri nchini Tanzania Reginald Mengi amefariki dunia.
Taarifa hiyo imethibitishwa leo alfajiri na vyombo vya habari vilivyo chini ya umiliki wake, runinga ya ITV, na stesheni ya Radio ONE.
Mzee Mengi alizaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro na umauti umemkuta akiwa mjini Dubai, Falme za Kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…