TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Rest In Peace Respective Sir. Dkt. Reginard Mengi
 
Yaani kweli wanavyosema ile siku ya ndoa kilichofungwa na Mungu binadamu hawezi kukivunja.
Acheni unafiki ..hichi ni kifo cha mzee wetu...mambo ya private issues yanatokea wapi hapa..wabongo wachawi hamjapewa matunguli tu
 
Ila ame enjoy life hapa mwishoni mwishoni atakua amekufa na amani kabisa.
Yani we ni kambea sijaona mfanowe

RIP tata Mengi...

Pole mjane K Liin ... binti tajiri kuliko wote Tanzania kwa sasa.
..
 
Maradhi ya umri mkubwa mkuu, hiyo tarehe yake ya kuzaliwa rudisha nyuma mara nane,kumbuka zamani walikuwa wanarudisha miaka nyuma kupata scholarship.
 
Kifo ni moja kati ya vitu ambavyo havizuiliki kwa pesa.

Kwaheri mzee wetu Mengi
 
R I P Mengi , Mbele Yetu, Nyuma Yako. Umelifanyia Mambo Mengi Hili Taifa, Hakika Utakumbukwa Milele, Ulale Salama.
 
Mbele yako nyuma yetu. Sijui nani mrithi kwenye harakati zako?
 
Mungu amuweke mahali pema peponi, mzee alihuzunika sana na kifo cha Ruge na Kibonde, mpaka akamuomba Kusaga yeye Mengi ahudumie chakula msiba wote wa kiobnde na Kusaga alikubali ombi hili. Pumzika baba mwendo umeumaliza imani umeilinda, hukuwa mkamilifu kwa kuwa wewe ni mwanadamu ila mema mengi umeyatenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…