TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Mzee huyu licha ya mapungufu yake lakini ni mmoja kati ya watanzania wachache waliojitoa kwa hali na mali kwa ajili ya jamii.Mungu ambaye ni muumba wa yote amsamehe madhambi yake na amuweke mahala pema peponi.
 
Wanafamilia watakaoachiwa hayo makampuni wawe makini kama marehemu wakati wa uhai wake ili watanzania tuendelee kupata huduma bora kama maji ya kunywa ya kilimanjaro.
Tatizo la family business ni uhakika wake baada ya head of the family kuondoa jumla.
SIO FAMILIA HII Aisee!
ALISHAANDAA WANAE MAPEMA SANA!
 
one of the Greatest Amelala na Amepumzika Good bye DAD!! I wish you could hear US specialy ME but all in ALL lay down dad take a rest..We love you.

These are ur's dad...

Rubby - Good night

Goodluck Gozbert - Tutaonana Tena
 
Kweli kifo ni fumbo na siri kubwa,Apumzike salama Mzee Mengi.Mungu azidi kuwafariji familia yake.Pole sana Jackie dah.
 
Aiseee taifa liko kweny vita vya uchum na mlipa kodi mkubwa nae kutuacha na Vita hii kubwa ya kiuchumi, pumzika kwa Amani Mzee mbele yako nyuma yetu
 
Back
Top Bottom