Ndo hivyo kufa ni lazima na wote tutakwenda hata angeripoti kwa ugumu. Kilichobaki tujiandae na umauti,Mkuu mbona umeripoti kirahisi hivyo taarifa ngumu namna hii?
Ni mdogo wake!Huyu ni nani? Mtoto wa marehemu?
Hayajakukuta ya kwenye ndoa. Yangekukuta usingeandika haya uliyoyandika hapa. Y akwenye ndoa tuwaachie waliopo huko na kama ya kwako ipo vizuri kama maisha ya edeni Mungu akusaidie muendelee kula mema ya nchi kwa amani.Mengi alimuacha mke wa ahadi kaenda kwa delila
R I P mzee mengi mchango wake umeonekana ndani na nje ya nchi.Poleni ndugu zangu kwa kufiwa na Dr Mengi, ndugu huyu amekuwa mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya watu na mfano wa kuigwa!
Huku Machame kwetu kwa kweli kumepoa sana sana, tuna masikitiko makubwa sana.....
Huu uzi ni Maalum kabisa kwa update na habari kuhusu msiba na Mazishi ya Dr. MENGI......
POLENI na karibuni sana......
Innaa lillah wainnaa ilahi Raj uun.Kwani huyo mzee alikuwa ISLAMIC. Wewe muombee kulingana na imani yake.