TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Mkuu mbona umeripoti kirahisi hivyo taarifa ngumu namna hii?
Ndo hivyo kufa ni lazima na wote tutakwenda hata angeripoti kwa ugumu. Kilichobaki tujiandae na umauti,

Pole kwa familia yake, ndugu, jamaa, na marafiki zake, mungu amuweke alipo pachagua aamin[emoji120]
 
Poleni ndugu zangu kwa kufiwa na Dr Mengi, ndugu huyu amekuwa mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya watu na mfano wa kuigwa!

Huku Machame kwetu kwa kweli kumepoa sana sana, tuna masikitiko makubwa sana.....

Huu uzi ni Maalum kabisa kwa update na habari kuhusu msiba na Mazishi ya Dr. MENGI......

POLENI na karibuni sana......
 
so mengi hakutaka uzee ? nimeona kweny web moja ,moja ya kazi ya matibabu aliyofanya ni kuondoa uzee
 
Pumzika kwa amani Mzee wetu Mengi na Mungu awajalie wanafamilia katika kipindi hiki kigumu!
 
Poleni ndugu zangu kwa kufiwa na Dr Mengi, ndugu huyu amekuwa mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya watu na mfano wa kuigwa!

Huku Machame kwetu kwa kweli kumepoa sana sana, tuna masikitiko makubwa sana.....

Huu uzi ni Maalum kabisa kwa update na habari kuhusu msiba na Mazishi ya Dr. MENGI......

POLENI na karibuni sana......
R I P mzee mengi mchango wake umeonekana ndani na nje ya nchi.
Pumzika kwa a man I.
 
Kwani huyo mzee alikuwa ISLAMIC. Wewe muombee kulingana na imani yake.
Innaa lillah wainnaa ilahi Raj uun.
Hiki ni kiarabu na kiswahili chake ni
HAKIKA SISI NI WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA.
Hii siyo dua hii ni km tahadhari na ukumbusho kuwa sisi ni wa nani na wapi tunaelekea.
Dua kwa maiti huyu ni
Mwenyezi Mungu muhifadhi maiti huyu pale anapostahili.
 
Hakika yatubidi kuzihesabu siku zetu kwani duniani tunapita!
 
Back
Top Bottom