Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimuita Business patnerRest In Peace mzee, kweli ndoa iliyofungwa na Mungu binadamu hawezi kuivunja. Umemfuata mke wako.
Nataka nisikiee[emoji23][emoji57]Na wewe unataka uone
Yaani badala ya kutoa pole watu wameingiza Siasa [emoji3][emoji3][emoji3]
Sio kwamba ugumu au urahisi upo upande wa msomaji/ mpokeaji? Kama mtoaji ndio amerahisisha, basi yupo vizuri kwani imepunguza shock.Mkuu mbona umeripoti kirahisi hivyo taarifa ngumu namna hii?
Pole sanaDaaa wengine tumefiwa hisia zishakuwa sugu hadi misiba ya wengine tunaichukulia kawaida tu. R. I. P mpambanaji R. Mengi!
2015 alionyesha tena?Huyu mzee aliniudhi wakati wa campaign za 2000 alivyokuwa akirusha vipindi kuonyesha mauaji ya Rwanda eti tukichagua vyama vingi tutakuwa kama Rwanda. Nadhani alifanya hivyo ili aendelee bila kufuatiliwa na watawala.