TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Ee Mwenyenzi ailaze roho yake mahali pema peponi.
Amina
 
Du Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe. Mungu awape faraja na subira familia yake na Watanzania kwa ujumla.
 
Daah kifo hakina Macho[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
AYU. :14:1
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.

AYU. :14:2
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.

Pole sana kwa familia na taifa kwa ujumla
 
Kifo cha Mengi ni pigo kwa Jiwe Kutimiza ndoto zake za Tanzania ya viwanda!
 
Bora waingize siasa tu waishie hapo,, wanapitiliza mpaka kukufuru kabisa,,, njia yetu ni moja ye katangulia tu jamani na ni nani msafi asiye mdhambi!!

Tunasahau pale tu unapozaliwa unakuwa na ile dhambi ya asili kifo kitakuhusu tu
Yaani badala ya kutoa pole watu wameingiza Siasa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu mzee aliniudhi wakati wa campaign za 2000 alivyokuwa akirusha vipindi kuonyesha mauaji ya Rwanda eti tukichagua vyama vingi tutakuwa kama Rwanda. Nadhani alifanya hivyo ili aendelee bila kufuatiliwa na watawala.
2015 alionyesha tena?
 
Rest In Peace Mzee Mengi Mungu Akupe Pumziko la Milele Ulijitoa Kwa Kuwasaidia Wengine
 
Back
Top Bottom