TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

WHO WILL CRY WHEN YOU DIE!

Huu mwaka ni mwaka wa kujifunza maana ya LIFE LEGACIES!

eeh MUNGU NIPE NEEMA YA KUTENDA YA KUGUSA MAISHA YA WATU ILI NIBAKI MIOYONI MWAO NIKIWA NIMEKUFA!


mahali Fulani mtu Fulani aseme KWA AJILI YA FULANI NILIPITA NA KUNYANYUKA MAHALA FULANI!

AMEEEN!

R.I. P Reggie!.
YOU LEFT A LOVE AND LIFE LEGACY.
Pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki!
Pole sana Wahitaji na walemavu na wagonjwa wa moyo mliopita mikono ya huyu mtu!
Kwa wengine upendo wake kwao ulikuwa ni baba, mume, rafiki , kiongozi, mwajiri!
Kwa wahitaji na walemavu na wagonjwa moyo ALIKUWA NI MTU BAKI ALIYESHIRIKI SEHEMU YA MAISHA YAKE NANYI!
bila kutarajia chochote in return!

dah!
 
Wanafamilia watakaoachiwa hayo makampuni wawe makini kama marehemu wakati wa uhai wake ili watanzania tuendelee kupata huduma bora kama maji ya kunywa ya kilimanjaro.
Tatizo la family business ni uhakika wake baada ya head of the family kuondoa jumla.
 
Daaahhhh mzee Mengi. Pumzika kwa amani japo ni pigo kubwa kwa media na biashara kiujumla.
 
safari njema mzee Mengi, baba mkwe..
ukawekwe mahali unapostahili milele.

Mungu akawape faraja ndugu jamaa na marafiki.
 
Dah very sad;huyu Mzee alikua anaonekana anahitaji kupumzika kwa hali niliyomuona nayo msiba wa Ruge ila bado aliendelea na mishe mishe,RIP Chairman
 
Mkuu long life ndio IPI na Short ndio ipi? Maana jamaa amezaliwa 1944, sasa kama kama kuna vijana kama akina Ruge ni 70's wamevuta, hapo short ni ipi na long ni ipi?
[emoji3]yaani na mimi nimeshangaa
 
Inna-Llillah Wa Inna-Illahi Rajioun.

RIP Mzee wetu .
 
Tutamkumbuka Mzee Mengi kwa mchango wake kwa Taifa. Pole Jackline na familia kwa msiba huu mkubwa.
 
Utajiri uko kaburini wengi wamekufa na ndoto imagine ndoto za mzee zimepotea usiku mmoja...

Furaha yote imekwisha ya jana pumzika kwa amani mzee wetu
 
Back
Top Bottom