OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Nini chanzo cha kifo?
Rest Easy Mzee Mengi.
Rest Easy Mzee Mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rest in peace mzee Mengi!
Zile projects zake za kujenga viwanda vya magari na simu bila shaka zimeishia hapa maana sioni wa kuziendeleza
miezi hii ya karibuni ukimuangalia tu ilikuwa inaonyesha afya yake si njemaNdo kwanza alikuwa karudi upya kwenye ujana. Mungu ampe pumziko jema mzee kijana wetu
Utaanza wewe na yeye utamuacha akiendelea kushinesiku jiwe atakapoondoka, nitachanganya kila aina ya pombe kuanzia asubuhi na kuzinywa kwa baraka na bashasha tele. Anyway RIP Mzee Mengi.
[emoji3]yaani na mimi nimeshangaaMkuu long life ndio IPI na Short ndio ipi? Maana jamaa amezaliwa 1944, sasa kama kama kuna vijana kama akina Ruge ni 70's wamevuta, hapo short ni ipi na long ni ipi?