TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

RIP Mzee Reginald Mengi,pole sana kwa familia yake.
 
Kila nafasi itaonja mauti
Poleni Sana ndugu, jamaa ,marafiki na watanzania wote kwa ujumla
 
Roho ya marehemu ipumzishwe mahari inapostahili. Amina sisi sote ni waje wake na kwake tutarejea kwa njia yoyote ile tutafika huko halipo kutokana na matendo yetu tulio tenda tukiwa hapa duniani.
 
Ndio mwisho wa kila m1, pesa, majumba si kitu, kifo hakichagui uwe kibosile uwe fukara, wakat ukifiia umefika.

Kwa wale wasio na imani sio kesi, kufa kufaana! Kufa kufumba macho tu!!!
Kwa wenye imani msiba ni habari nzito, mawaidha bora kabisa ni juu ya umauti, tutende mema,tuombe mwisho mwema, muhimu ni amali njema.
Tofauti ya msiba wa mengi na danny pale tandale ni umaarufu tu wa msiba.
 
Pumzika kwa Amani DR Mengi, Inasikitisha sana tunaondokewa na watu makini tunabakiwa na mijitu ya ajabu ajabu.
 
Kazi anayo Dada watu: atapata chake kweli.
Maana familia zetu za kiafrica tunazijua wenyewe
Jackiealiingia kwenye hii familia mali zikiwa ni za kampuni tayari!
WALA SIO SWALA LA KUPATA CHAKE AU KUNYIMWA CHAKE!

vipo vitu atastahili kwa nafasi yake AS a wife!
miongoni mwao SIO IPP MEDIA na viambata vyake!
 
Watu waliokomenti first page wamenishangaza sana.

Pumzika kwa Amani .
 
Hapa dunian tunapita tu. I wish wanasiasa walielewe hilo
 
Back
Top Bottom