TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

RUGE
UMEACHA MENGI DUNIAN

LEO MZEE WAKO.MENGI AMEKUFWATA N HUZUNI KUBWA SANA TASNIA YA HABARI

POLENI WAFIWA NA WOTE WALIOGUSWA NA MAREHEMU R.MENGI
 
amekula 70yrs yake na bonus ya 5yrs.....R.I.P babu....
 
Kama anefariki 1st May au hata kama ni early 2nd May ni exactly 6 months toka mkewe Mercy Anna Mengi afarini. Hili ni fumbo na funzo kwa watu wote duniani uwe tafiri au maskini. Angelijua hili kuwa baada ya miezi 6 naye angemfuata basi angefanya vyema zaidi kipindi cha kifo na mazishi ya mke wake na mwanzilishi na mmiliki mwenza wa makapuni yote yaliyotajwa (mengi yake) hapo juu.

Mimi sisemi R.I.P kwa sababu msimamo wangu kwa huyu tajiri ulibadilika mno baada ya kifo cha mke wake wa kwanza Mercy Anna Mengi na ile heshima isiyostahili aliyompa.

Halafu watu Bwana. Kwenye zile nyuzi mbili zilizokuwa zina trend hapa kuhusu huyu marehemu na current wife basi kuna waliosema mengi sana kuhusu Gold Digging counting the days.😡😡
Kweli muda umekuwa mchache sana toka mke wake afariki
 
hiyo stem cell and genetic engineering ni nini ? madokta wa JF mtueleze nime google hamna maelezo ya kueleweka
 
Kwa umri wa miaka 75 aliyoishi hapa duniani Dr. Reginald Abrahamu Mengi anakuwa agemate wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Rest in peace Dr. Mengi!
 
Alikuwa anaumwa nini? Mbona taarifa za Ugonjwa wake sijasikia ? Yani unatafuta pesa kwa nguvu ukifa kuna maboya wanazitumia bila huruma. Ametuachia mjane kijana
Mengi was in Dubai for Vacation. It seems mengi had a heart attack. Two days he fell down while he and the family were touring,was taken to the hospital,kept in for a day or so and released. Last night they had a meal and thereafter around 6pm he had severe chat pains.They took him to the hospital but did not make it. Regina and her brother are also in Dubai.
 
Maisha ni safari..kila mmoja anafika mwisho wa safar yake kwa muda tofauti! Mwenye gari akikufikisha kwa muda wake huna budi kushuka na lazima ushuke
 
RIP Mengi. Kupandikiza vinasaba tena? Has stem cells engineering technology confirmed to help some of these diseases we suffer? Was it a reason?
 
Mkuu Mengi, you have lived your life. We thank God for the moment we shared with you on mother Earth. May you stay Blessed!!
 
Back
Top Bottom