Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Lisu out
Lisu atadhughulikiwa kwenye sanduku la kura bwashee!Nyumbu wa Lumumba mnahamu Lissu afanyiwe Figisu hapa, Amini amini nawaambieni Jiwe ndio hana sifa, NEC watamchinjilia Mbali
sheria ipi kwa mfano?Utafanyanini akikatwa kwa kukosa sifa za kuwa mgombea kwa mujibu wa sheria?
Hapo swala sio sifa kwani zote anazo. Ila kwenu swala ni yule mnae muogopa zaidi.Kama mgombea wenu Ana sifa wasiwasi wa nini? 🤣
TUNAWASUBIRI kwenye sanduku la KURA.Cha msingi CCM msifosi ushindi wa mezani kwa kumuengua Lissu kimizengwe.
Kamshangazeni Lissu kwenye sanduku la kura sio kwenye meza ya tume.
Hii tume siyo huru kabisa. Kwa nini inatoa matamko ya mng'ato mng'ato kiasi hiki ?aji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
TATIZO lenu ni mmeshatambua waziwazi kuwa hamumuwezi Lisu.Mfano akimkata, lisu kama lisu atafanyaje?, Ataenda mahakani kulalamika au atakimbilia kwa jirani anakohutubia kila siku au kwa mabeberu?, Au ataitisha maandamano kamw mange?
Mwaka huu hata hiyo TUME ya mgombea haitamsaidia. KESHACHOKWAJPM alipambana sana isipatikane Tume Huru ya uchaguzi, ili itumike hii ambayo AMEIWEKA MFUKONI.
Ajaribu kulamba sumu aone nini kitamtokeaJaji hatma ya Tanzania ipo mikononi mwako...timiza wajibu wako kwa HAKI taifa litakuinua..
Vinginevyo....!! sisi hatutakiwepo huko utakapokuwa unakwenda!!
Piga kelele mtandaoni baadae ukalale.Hapo swala sio sifa kwani zote anazo. Ila kwenu swala ni yule mnae muogopa zaidi.
Tutakula sahani moja na yeyote mtakaemtuma.
Tunawasubiri.
Nami naona hapo ni copy &paste ya hali ya kisiasa ya zamani DRC.Hapa naona copy&paste ya uchaguzi wa serikali za mitaa
Unaliota hilo kuliko umuotavyo mumeo. Umechemka bibie!Lisu out
POLE ndugu,Piga kelele mtandaoni baadae ukalale.
".........Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumtupia jiwe..........." AMENKujipanga kufeli kabla ya mtihani tayari kuna tafsiri nyingi... ila tukumbuke kufaulu ni matokeo ya usikivu, kufata sheria na miongozo pamoja bidii ya muda mrefu, hakuna miujiza hapo
Nahisi watakuwa wanatengeneza mazingira ya sisi kuamini kuwa hawawezi kujua sifa za anaechukua hizo fomu hadi pale atakapozijaza ndiyo watajua hizo sifa za mhusika kupitia maswali watakayokuwa wanamuuliza ndani ya hiyo fomu( kama fomu ina maswali lakini)Kama mtu hana sifa kwanini wakampa fomu?
Kwani inawezekana chizi siku moja akaenda kuchukua fomu ya Urais wakampa?
Huyo jaji aache kuchezea akili za watu, tumeshajua mgombea wetu ni nani na kura zetu anazo, yeye na hayo matamko yake ya ajabu ajabu anajifurahisha tu.
Ndio tumaini lenu kuu? Mwatia huruma kweli.Alishawambia mapema chukueni tahadhali wakati wa kupitisha wagombea wenu, hakikisheni hawana vizingiti.
Sasa siku mkipewa kizingiti ndo mtachoka.