Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Pepo mchafu tokaMwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Litakuwa kosa kubwa Sana madhila waliyoyapitia watanzania kwa miaka mitano msiwashinikize waasi makusudi wote tutaingia shimoni tusifike huku nawaombea kwa Mungu awape busara.Target ni Lissu. Otherwise kuna mitego miwili, wanafanya hivyo ili ACT na CDM washindwe kushirikiana ili wote wapitishwe wazigawe kura ... Alternatively, kama wataachiana mapema basi anayebaki anakachwa siku ya mwisho ili was iwe na mgombea.
Nasisitiza Tena" Only Qualified Candidate" Kulingana na Sheria ya uchaguzi ya mwaka ................ Mgombea kutoka Chama .........amepoteza sifa. Na hivyo uteuzi wake umetenguliwa................
Kwa dhati ya moyo wangu naamini hawatafanya hili kosa la kulibetisha taifa. Kubeti amani ya nchi ni uhaini.Lisu nje watu hawa ni hatari na huenda wakahatarisha amani yetu.
Wakati wewe unaiangalia chadema sisi tunaiangalia nchi nzuri tuliyoachiwa naCHADEMA watalia na kusaga meno
Hadi hapa CCM mmeshanyoosha mikono juu kuwa Lissu kwenye sanduku la kura hammuwezi.Hapo ndio patamu bwashee!
Kaijage atajiwekea historia ya kitaifaJecha mwingine ndani ya nyumba
mmmhh
Mh.Kaijage fyekelea vyama vyote ..ibaki ccm na chadema, wachuane wenyewe
nafasi ni yako...chagua kuwa jecha au jaji
Watu eeeeh wamevamia nyumbani kwake!Nasisitiza Tena" Only Qualified Candidate" Kulingana na Sheria ya uchaguzi ya mwaka ................ Mgombea kutoka Chama .........amepoteza sifa. Na hivyo uteuzi wake umetenguliwa................
Bwashee hakuna pahala jaji kamtaja Tundu Lisu!Hadi hapa CCM mmeshanyoosha mikono juu kuwa Lissu kwenye sanduku la kura hammuwezi.
hakuna kikwazo kwa wote wawili...Kama atafaulu uteuzi!
Patamu sana hapo😆Hapo ndio patamu bwashee!
Una uhakika wewe huombi dua nec wamuengue lissu kimizengwe?Bwashee hakuna pahala jaji kamtaja Tundu Lisu!