Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Pepo mchafu toka
Pepo wa ujinga upumbavu na uwendawazimu toka
Pepo wa kwenye mbogamboga toka
Pepo unayemtesa yule mpenda madaraka toka
 
Target ni Lissu. Otherwise kuna mitego miwili, wanafanya hivyo ili ACT na CDM washindwe kushirikiana ili wote wapitishwe wazigawe kura ... Alternatively, kama wataachiana mapema basi anayebaki anakachwa siku ya mwisho ili was iwe na mgombea.
Litakuwa kosa kubwa Sana madhila waliyoyapitia watanzania kwa miaka mitano msiwashinikize waasi makusudi wote tutaingia shimoni tusifike huku nawaombea kwa Mungu awape busara.
 
Nasisitiza Tena" Only Qualified Candidate" Kulingana na Sheria ya uchaguzi ya mwaka ................ Mgombea kutoka Chama .........amepoteza sifa. Na hivyo uteuzi wake umetenguliwa................

Thubutuu yakeee, akitaka achomoe betri kisha alipue nchi yote basi ajaribu huo ujinga.
 
Jecha mwingine ndani ya nyumba

mmmhh

Mh.Kaijage fyekelea vyama vyote ..ibaki ccm na chadema, wachuane wenyewe

nafasi ni yako...chagua kuwa jecha au jaji
 
Jecha mwingine ndani ya nyumba

mmmhh

Mh.Kaijage fyekelea vyama vyote ..ibaki ccm na chadema, wachuane wenyewe

nafasi ni yako...chagua kuwa jecha au jaji
Kaijage atajiwekea historia ya kitaifa
 
Tarehe 26 August CHADEMA watatangaza kumuunga mkono membe katika Safari ya kwenda ikulu ambapo kwa vyovyote vile hawawezi kuingia kwasababu ya sera mbovu na matusi.
 
Nasisitiza Tena" Only Qualified Candidate" Kulingana na Sheria ya uchaguzi ya mwaka ................ Mgombea kutoka Chama .........amepoteza sifa. Na hivyo uteuzi wake umetenguliwa................
Watu eeeeh wamevamia nyumbani kwake!
 
Ukiangalia matamko ya hawa watu yanafanana tena yote yanatolewa ndani ya siku 2 mfululizo utadhani wamezeshwa maneno na mtu, wote wanasisitiza kwa kauli hizo hizo tena mpaka maneno yanajirudia.

1.Polepole
2.IGO Siro
3. Jaji Kaijage

Nyie watu msiwachezee watanzania akili, cheo ni dhamana. Epukeni kutumika kwani mtakapoingiza taifa kwenye majanga hao waliowatuma watawaruka kilomita 6.
 
Back
Top Bottom