Hiyo form ni kama Tender Documents, unanunua na kwenda kujaza particulars and then NEC wanakaa kama board kuangalia kama kila aliyeomba anakidhi vigezo ambavyo vipo kisheria. Usipompa mgombea form Kwa kuhisi Hana vigezo ni sawa na kumnyima mtahiniwa Question paper kisa tuu unajua/hisi hawezi faulu mtihani.Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Hiyo form ni kama Tender Documents, unanunua na kwenda kujaza particulars and then NEC wanakaa kama board kuangalia kama kila aliyeomba anakidhi vigezo ambavyo vipo kisheria. Usipompa mgombea form Kwa kuhisi Hana vigezo ni sawa na kumnyima mtahiniwa Question paper kisa tuu unajua/hisi hawezi faulu mtihani.Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Sifa zipi zipi mbona hazitaji ?Ajichanganye aone ,mwaka huu hamtaamini ,vipi mbatizaji mwaka huu kura za Maoni ubunge ccm kwenu huko umepita au umetemwa Kama 2015?Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Hahaha, acheni woga. Msikimbilie kujificha huko.Hapo ndio patamu bwashee!
Tume ya Rais hiyo, amepambana sana isipatikane Tume Huru ili iendelee kutumika hiyo hiyo aliyoiweka MFUKONI.Je NEC ipo neutral au ina upande?
rasmi sio tetesi tena Lissu nina uhakika [emoji817] watamkata kwa kisingizio kuwa hanasifa yaleyale ya serikali za mitaa naomba niseme tu TAREHE 11/08/2020 NITACHOMA MOTO KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA,NAICHUKIA HII NCHI KWA MAMBO YANAYOFANYIKA NA SITAKI KUSIKIA KITU CHOCHOTE KUHUSU NCHI HII.
Imeisha hiyoo...Sifa izo apo [emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1533411
Kaijage ameanza kuihujumu chadema yafaa asomewe Albadiri mapema tena chadema mkamsomee hata Nchini Malawi wanakopenda demokrasiaKaijage awe makini
Siza za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzaniSifa zenyewe ni zipi? Ziwekwe mezani kila mmoja azifahamu.
Tz ipi? Tz ya kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?Tz ni kubwa kuliko TL! Na kamwe haitasimama!
Kaijage mwenyewe itabidi ahamie ikulu awe anaishi mle mleThubutuu yakeee, akitaka achomoe betri kisha alipue nchi yote basi ajaribu huo ujinga.
Vikwazo vya kuichumi na pia jaji kaijage atasomewa Albadiri na kupata laana ya mileleHii tume tusipokuwa makini itaingiza nchi kwenye matatizo
Viza na kugombea Urais ni vitu viwili tofauti ni mara 100 chadema wamuanike jaji kaijage Duniani kote wamjue kuwa anataka kuihujumu chademaHata mimi nashangaa, huu ni usaili wa kazi lazima ukidhi matakwa.
Uombe kujiunga na chuo au Uombe visa ya nchi fulani unapewa form na ada unalipa na unaambiwa hujaqualify je utalalamika kwa nini walinipa form kama siqualify?
Na hili la wagombea wenye sifa walisisitize sana maana wagombea wengine hawana ADABU kabisa.Mmoja wao ni yule anayesisitiza wananchi waingie barabarani kama atashindwa.Huyu sifa hana.
Vigezo ni kuwa na sifa za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuzuia mikutano ya siasa? Vigezo ni kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? NEC wamekariri vigezo vya mgombea wa Urais ni kuwa na Tabia ya kudidimiza demokrasiaHiyo form ni kama Tender Documents, unanunua na kwenda kujaza particulars and then NEC wanakaa kama board kuangalia kama kila aliyeomba anakidhi vigezo ambavyo vipo kisheria. Usipompa mgombea form Kwa kuhisi Hana vigezo ni sawa na kumnyima mtahiniwa Question paper kisa tuu unajua/hisi hawezi faulu mtihani.
SawaMwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!