Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Hiyo form ni kama Tender Documents, unanunua na kwenda kujaza particulars and then NEC wanakaa kama board kuangalia kama kila aliyeomba anakidhi vigezo ambavyo vipo kisheria. Usipompa mgombea form Kwa kuhisi Hana vigezo ni sawa na kumnyima mtahiniwa Question paper kisa tuu unajua/hisi hawezi faulu mtihani.
 
S
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Sifa zipi zipi mbona hazitaji ?Ajichanganye aone ,mwaka huu hamtaamini ,vipi mbatizaji mwaka huu kura za Maoni ubunge ccm kwenu huko umepita au umetemwa Kama 2015?
 
rasmi sio tetesi tena Lissu nina uhakika [emoji817] watamkata kwa kisingizio kuwa hanasifa yaleyale ya serikali za mitaa naomba niseme tu TAREHE 11/08/2020 NITACHOMA MOTO KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA,NAICHUKIA HII NCHI KWA MAMBO YANAYOFANYIKA NA SITAKI KUSIKIA KITU CHOCHOTE KUHUSU NCHI HII.

si uhame unasubiria nn
 
JPM alipambana sana isipatikane Tume Huru ya uchaguzi, ili itumike hii ambayo AMEIWEKA MFUKONI.
 
Hata mimi nashangaa, huu ni usaili wa kazi lazima ukidhi matakwa.

Uombe kujiunga na chuo au Uombe visa ya nchi fulani unapewa form na ada unalipa na unaambiwa hujaqualify je utalalamika kwa nini walinipa form kama siqualify?
Viza na kugombea Urais ni vitu viwili tofauti ni mara 100 chadema wamuanike jaji kaijage Duniani kote wamjue kuwa anataka kuihujumu chadema
 
Hivi hotuba yake ulisikiliza ukiwa na chang'aa kichwani Lissu hakusema hivyo ebooh acha kugeuza maneno.
Na hili la wagombea wenye sifa walisisitize sana maana wagombea wengine hawana ADABU kabisa.Mmoja wao ni yule anayesisitiza wananchi waingie barabarani kama atashindwa.Huyu sifa hana.
 
Hiyo form ni kama Tender Documents, unanunua na kwenda kujaza particulars and then NEC wanakaa kama board kuangalia kama kila aliyeomba anakidhi vigezo ambavyo vipo kisheria. Usipompa mgombea form Kwa kuhisi Hana vigezo ni sawa na kumnyima mtahiniwa Question paper kisa tuu unajua/hisi hawezi faulu mtihani.
Vigezo ni kuwa na sifa za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuzuia mikutano ya siasa? Vigezo ni kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? NEC wamekariri vigezo vya mgombea wa Urais ni kuwa na Tabia ya kudidimiza demokrasia
 
Sifa za NEC kwa wagombea Urais ni kuwa na sifa za kwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, kuwapora ushindi wapinzani kwenye chaguzi mbalimbali, kunafuta trilion 1.5 kisha kutoa CAG kafara, kupiga 10% ununuzi wa Ndege kwa cash, kula 10% kwenye miradi yote mikubwa
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Sawa
 
Sifa za mgombea Urais wa CCM ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge hiyo sifa NEC wanaipenda kuliko sifa zote, sifa ya pili mgombea wa CCM kuwanyima nyongeza za mashahara kwa miaka minne.
 
Back
Top Bottom