Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 936
Hiyo form ni kama Tender Documents, unanunua na kwenda kujaza particulars and then NEC wanakaa kama board kuangalia kama kila aliyeomba anakidhi vigezo ambavyo vipo kisheria. Usipompa mgombea form Kwa kuhisi Hana vigezo ni sawa na kumnyima mtahiniwa Question paper kisa tuu unajua/hisi hawezi faulu mtihani.Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form