Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Tz ipi? Tz ya kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?
Tibu minyoo kwanza unavyoharibu akili yako ndio utaweza elewa ndg! Huyo jamaa yake Zito alifikiri kutuhujumu Tz na kutumiwa na Zito kungemuacha salama eeh!
Hiyo hela tumenunulia ndege weye na minyoo yako ya kwenye ubongo utaelewaje🤣😂🤣!
 
Watanzania wote hali zetu ni mbaya, anaetuongoza alishatamka hadharani kwamba yeye ni kichaa.
Sisi watanzania tunaongozwa na rais mwenye akili timamu kabisa! Dr John Pombe Magufuli,

Nyie mnaoongozwa na rais kichaa bila shaka vichwa vyenu si tu ni vichaa bali vichwa vyenu mmejaza mafi
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
hapa 'watu wawe makini', tofauti na hapo patachimbika!
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
"Ongeza sauti kidogo"
 
Nan kambambikizia wakat mpaka ushaid wa audio na video upo kama Ile ya Zanzibar jamaa dah anajua kuropoka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye si mwanasheria mbobezi basi atutafsirie na hii mana anajifanyaga kuwahi kuelezea sheria inasemaje aseme na hii
Madhara ya kuhemewa haya, unacheka cheka tu asubuhi yote hii.
 
Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania

Alishawambia mapema chukueni tahadhali wakati wa kupitisha wagombea wenu, hakikisheni hawana vizingiti.
Sasa siku mkipewa kizingiti ndo mtachoka.
 
Form anapewa yeyote atakaye pitishwa na chama chake ,ata wewe Kama hauna sifa chama chako kikikupitisha Basi unachukua form,.kazi inabaki kwao kuangalia sifa zao
Kitakuwa chama cha ajabu kama kitampitisha mgombea wake bila kujua sifa za mgombea.
 
LQUOTE="maiyanga1, post: 36311567, member: 419268"]
Kitakuwa chama cha ajabu kama kitampitisha mgombea wake bila kujua sifa za mgombea.
[/QUOTE]
"Kujua kusoma na Kuandika"
 
Jaji hatma ya Tanzania ipo mikononi mwako...timiza wajibu wako kwa HAKI taifa litakuinua..

Vinginevyo....!! sisi hatutakiwepo huko utakapokuwa unakwenda!!
Mfano meopokaji TLS, Aliyeifanyia uzandiki nchi yetu, Mfitini, Anayejifanya ni bora kuliko Sheria za nchi, Mdharau mamlaka, Asiyekuwa na aibu, n.k. Huyo hatumtaki kwa Mujibu wa Sheria. Tunamhitaji anayeipenda Tanzani kuliko Ubeligiji, Kuliko Kenya, Kuliko Ujerumani, Kuliko Marekani, na anayeviheshimu vyombo vya Tanzania kuliko vya Kenya, Marekani, Ubeligiji, Uingereza n.k.
Hatumhitaji Mtu mwenye Karba ya kubambikizia watu na taaisisi za Serikali Makosa kwa Lengo la Kuwafurahisha waliomtuma.
NB: Msinifokeeeee, Mfokeeeeni Papeti
 
Back
Top Bottom