Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Kwani anasisitiza wenye sifa tu kuna mgombea ambae hana sifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata miga mlisema ivyo ivyoJaji kaijage ajiandae kuwa na kesi kwenye mahakama za kimataifa na Pia ajiandae kusomewa Albadiri endapo atawahujumua chadema kama alivyopanga
25/08/2020 ndio itajulikana bwashee!Kwani anasisitiza wenye sifa tu kuna mgombea ambae hana sifa?
25/08/2020 ndio itajulikana bwashee!
Wewe unaishi nchi gani bwashee?Kama mgombea Wetu ataondolewa kwa figisu figisu za CCM uchaguzi hautafanyika.
Wewe unaishi nchi gani bwashee?
Safari hii The HagueJecha alimkata maalim Seif usisahau hilo!
Huko Tanzania siyo mwanachama bwashee!Safari hii The Hague
Tibu minyoo kwanza unavyoharibu akili yako ndio utaweza elewa ndg! Huyo jamaa yake Zito alifikiri kutuhujumu Tz na kutumiwa na Zito kungemuacha salama eeh!Tz ipi? Tz ya kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?
Sisi watanzania tunaongozwa na rais mwenye akili timamu kabisa! Dr John Pombe Magufuli,Watanzania wote hali zetu ni mbaya, anaetuongoza alishatamka hadharani kwamba yeye ni kichaa.
hapa 'watu wawe makini', tofauti na hapo patachimbika!Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
"Ongeza sauti kidogo"Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Labda patachimbika hapa Jf!hapa 'watu wawe makini', tofauti na hapo patachimbika!
Kwa ukurasa huu CDM anzeni mazungumzo na ACT wazalendo.yajayo.. ..hapa 'watu wawe makini', tofauti na hapo patachimbika!
Madhara ya kuhemewa haya, unacheka cheka tu asubuhi yote hii.Nan kambambikizia wakat mpaka ushaid wa audio na video upo kama Ile ya Zanzibar jamaa dah anajua kuropoka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye si mwanasheria mbobezi basi atutafsirie na hii mana anajifanyaga kuwahi kuelezea sheria inasemaje aseme na hii
Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Kitakuwa chama cha ajabu kama kitampitisha mgombea wake bila kujua sifa za mgombea.Form anapewa yeyote atakaye pitishwa na chama chake ,ata wewe Kama hauna sifa chama chako kikikupitisha Basi unachukua form,.kazi inabaki kwao kuangalia sifa zao
Mfano meopokaji TLS, Aliyeifanyia uzandiki nchi yetu, Mfitini, Anayejifanya ni bora kuliko Sheria za nchi, Mdharau mamlaka, Asiyekuwa na aibu, n.k. Huyo hatumtaki kwa Mujibu wa Sheria. Tunamhitaji anayeipenda Tanzani kuliko Ubeligiji, Kuliko Kenya, Kuliko Ujerumani, Kuliko Marekani, na anayeviheshimu vyombo vya Tanzania kuliko vya Kenya, Marekani, Ubeligiji, Uingereza n.k.Jaji hatma ya Tanzania ipo mikononi mwako...timiza wajibu wako kwa HAKI taifa litakuinua..
Vinginevyo....!! sisi hatutakiwepo huko utakapokuwa unakwenda!!