GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta.
Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka mapema na Kuwaondolea Mama Kodi kwani kwa za chini chini na walivyokuwa hawamkubali ( japo Kinafiki walikuonyesha Kumkubali ) na kilichokuwa Kinaandaliwa nina uhakika Mwenyewe angekuja Kukuomba umbadilishe hapo na kama ungekataa basi kuna Uwezekano angakugomea kwenda Kazini na kukutaka uende Mwenyewe.
Kuna tofauti Kubwa sana ya kuwa Msemaji wa Timu ya Kinondoni FC ( inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania ) aifanyayou Dada yangu Christina Mwagala na ile atakayoifanya Dada yangu Sofia Mjema ya Kisiasa tena katika Chama Tawala cha CCM ambacho kwa sasa kina Maswali mengi ya Changamoto lukuki ( nyingi ) za Hoja ambazo kwa nimjuavyo Mwenezi wa CCM Taifa Mteule ( Mwanamama ) hana Ubavu ( Uwezo ) wa Kuzipangua Kifikra na Kiumakini pale zikitolewa na Watu ( Wanasiasa ) waliobarikiwa Akili ( IQ ) Kubwa na za Kutukuka kuliko alizonazo.
Kwakuwa tunapenda Kuteua Wanawake Wanawake kwa sasa nashauri hata TISS, JWTZ na PT tuteue Wanawake kwani watatusaidia kutupa Kura nyingi sana tutakapogombea kwa Tiketi yetu na si hii ya Hayati pale Oktoba mwaka 2025.