Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

Yaan kila nkitafakari ile kauli ya mume wangu anasemaga "wanawake akili zenu ni za kuvukia barabara" naanza kuamini to some extents kwa haya yanayoendelea.....
Sweet16 kumbuka pia Mwenyezi Mungu alimwumba mwanamke kuwa msaidizi wa mwanamme na si vinginevyo. Hivyo kauli ya mme wako ni sahihi kabisa.

Na kuhusu hoja kuu ni wazi CCM inasafiri katika bahari ya tufani
 
Wanaume tutakubali? Tuwaulize wavaa kubazi!
Naona kila idara nyeti ikienda kushikwa na UWT chamani na serikalini na Hilo ndilo anguko kuu.
GENTAMYCIME umeona mbali sana! Uwezo wa Sophy bado mwishowe atahamaki wakati wa maswali magumu ya tran na trat! Na hapo Kuna watu wataopt plan A ya Jiwe! Funngia mana wanakosoa bila staha!
Siasa Ina staha ni Ibada? Kama ni mwizi acha uitwe mwizi kama ni mazembe acha uitwe mzembe kama ni fisadi vile vile, kama ni mdini na mkabila vile vile kama ni mbaguzi vile vile! Kama hujitambui Hivyo Hivyo kama Sio mqajibikaji vivuo Hiyo! Haya yote wataiya matusi! Na kusahau Hayati Ben aliwaita chadema malofa na wao wakashangilia na kukenua meno! Huku Hayati JKN aliwaita wanasiasa Wa Namna flani "malaya malaya wanaofanya mambo ya kipumbavu" wakakenua! JPM aliwafananisha washindani wake na magunzi ukiyaweka kwenye torch na battery hayawaki!
Kuna watu watapewa kesi za kudhalilisha mwanamke just wait and see!
Tafadhali siitwi GENTAMYCIME aliyeiiga hii Brand ID yangu bali naitwa GENTAMYCINE sawa Mkuu?

Aliyeniiga ( iiga ) amesahau na Kuiga na IQ yangu ya Kutukuka pia na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kama nilivyo Kiasili.
 
Tafadhali siitwi GENTAMYCIME aliyeiiga hii Brand ID yangu bali naitwa GENTAMYCINE sawa Mkuu? Aliyeniiga ( iiga ) amesahau na Kuiga na IQ yangu ya Kutukuka pia na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kama nilivyo Kiasili.
Nimekuelewa mkuu nadhani ni wakati wa ku-quote sikuzingatia Hilo kuangalia M vs N ! Nisamehe kwa Hilo turudi kwenye mada nilikua nakuadress wewe
 
CCM wanaweka kipaumbele kwenye kurithisha mikoba kwa watoto wao, afadhali JPM alikuwa na uthubutu wa kuvuta vipaji kutoka sehemu nyingine, sio kukomaa tu na watu viazi kisa majina ya baba zao.
Vipaji vipi?
 
Back
Top Bottom