Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Mimi binafsi nadhani tukio kama hili la wahuni wachache kuwavamia watu wasio na hatia yoyote mbele ya watu wenye sare za polisi huku hao wenye sare za polisi wakiwaunga mkono kwa kuwalinda, liwe la mwisho.

Watu wanaowalinda wahalifu ni sehemu ya wahalifu. Wananchi wanatakiwa kuchukua hatua kali dhidi ya wahuni hao hata kama wahuni hao watakuwa ndani ya uniform za polisi. Watu wasiangalie mavazi bali waangalie matendo.

Kazi ya polisi ni kutunza usalama. Ukiona mtu amevaa vazi la polisi lakini halindi usalama, ahesabiwe ni mhuni aliyeiba vazi la polisi kwenda kufanyia uhalifu. Lazima adhibitiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli lazima haya mambo yadhibitiwe.Wahuni 50 waliovuta bangi na kulewa gongo hawawezi kuachwa hivi hivi waendelee kutamba
 
Eti tumeenda kusikiliza hotuba, afu wanachadema waliovaa sare wakaanza kuturushia mawe. Kwa hiyo wanachadema ni lazima tuvae sare ili tuwe salama siku hizi. WALE VIJANA BUANA

Huu ni ujinga wa kiwango cha Stiglaz goji. Na ni matokeo ya ukosefu mkubwa wa ajira uliotengenezwa na Chama tawala.
 
Very good idea , Chadema kaskazini pangeni vijana was kulinda viongozi ,huyo Pimbi wa kutupa Ole sabaya atarudia Tena huo michezo ,jipangeni wahuni hao tatsndikwe ,polisi wanaowalinds piga,msiogope polisi si wanalinda wahalifu na wenyewe ni wahalifu piga wako wachache Sana nchi polisi tandikeni msiogope hawana lolote zaidi ya uniform ndio it's kuwa fundisuo si ndio wanachotaka be fearless.
 
Sasa wale mabaunsa walikuwa wapi? walinzi wa mbowe walikuwa wapi? hai bila kutoa hela ya mbege watakudunda tu, hata mbowe analijua hilo,
Akili za namna hii ndio mtaji mkubwa sana kwenye chama chenu!! Na akili kama hizi mwenyekiti ndio anazipenda kweli!! Wewe umefanya siasa miaka 5,pekee yako leo mwenzako amepata ka muda ka wiki mbili tu u meanza kutoa povu?!! Kinachowashangaza ni kutoamini kinachotokea baada ya kuaminishwa kuwa upinzani umekufa, ina maana hawa watu mafanikio ya awamu ya tano hawayaoni?!! Mnaumia!! Upinzani upo mioyoni mwa watu,
 
Back
Top Bottom