Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Nani kasema wakae kimya ?Km hivyo vyombo vinashuhudia uhalifu na havichukui hatua wanachi wafanyeje.kisa eti kukaa kimya ndio kuilinda CCM.
Nani kasema wakae kimya ?Km hivyo vyombo vinashuhudia uhalifu na havichukui hatua wanachi wafanyeje.kisa eti kukaa kimya ndio kuilinda CCM.
Yule alipandishwa cheo akawa mkuu wa mkoa MtwaraHuyo mkuu wa wilaya ndo alie ng'oa cabage na spinachi shambani mwa Mbowe?
mtu ambaye yuko Boma kanieleza green gurad wawili wameenda na majiMbona walisema hawajafa hao wapuuzi walioleta fujo?
Daud kama ni kweli nidhibitishie niagize nyingine ya baridi!
Maendeleo siyo Hisani za CCM kwani maendeleo ni pesa binafsi toka mfukoni mwa huyo DC Sabaya?Nioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
Pengine mm na ww hatujui lakini siasa za nchi hii zinakupa jibu kwa nini polisi hawachukui hatua.Nani kasema wakae kimya ?
Naam inabidi tuendelee kutangaza / kupinga na kulaumu kwanini tunaowaajiri na kuwapa kodi zao hawafanyi kazi ipasavyo ya kutulinda na kuchukua hatua dhidi ya uharifu wa aina yoyote... Tusichoke kukemea uharifu/ unyanyasaji wa aina yoyote ile...Pengine mm na ww hatujui lakini siasa za nchi hii zinakupa jibu kwa nini polisi hawachukui hatua.
Huo ndiyo ujinga uliotengenezwa na CCM ile ile ambayo wanaccm wenyewe ndiyo hukariri ujinga wao, lakini mwaka 2020 watanzania wameamka ujinga wa CCM hawakubali na hawautaki hata wasingizie nini hakuna wa kuwasikilizaYaani Ni Sawa Na Mwizi Akatukio Na KITAMBULISHO chake Cha Kupiga Kura...
Maandishi Ukutani Yanatutanabahisha kuwa WALE VIJANA wametengenezwa na CHADEMA....
Ni movie....
Ni Setup Ya KISIASA...
nani anakusanya kodi kwa wananchiNioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
..hawa wananchi wanaozungumza hapa walikuwepo eneo la tukio.
nani analeta drama kwenye maendeleo ya nchi yetu?Nioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
Huyu atashughulikiwa kwa njia hizi hizi anazozifanya yeye , vuta subraKile kikundi katika video wanajitapa kuwa wapo tayari kumlinda Magufuli na DC wa Hai
Kwa ushahidi huu ni kuwa kile kikundi kimetumwa na Ole Sabaya kuvuruga mkutano wa CHADEMA
Ole Sabaya ameshindwa siasa za kiistaarabu,na mamlaka ya uteuzi bado inaendelea kumuangalia tu
IGP Sirro usipokuwa makini ,ukicheka na nyani utavuna mabua
Ole sabaya na kikundi chake wafikishwe kwenye vyombo vya dola kujibu mashtaka,hakuna aliye juu ya sheria za nchi
Ndiyo kazi aliyotumwaMkuu wa wilaya ya Hai Sambai ametajwa Leo katika mahojiano ya Polisi Moshi kuwa aliratibu vijana wa kufanya fujo Bomang'ombe na kurusha mawe kwa ujira wa Elfu 20 kila mmoja.
Hivi Rais Magufuli, uliwatoa wapi vijana kama hawa na kuwapa madaraka? Kweli mtu anayekuwa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wilayani anaweza kuunda kikundi cha kurusha mawe ndani ya kundi la watu wakiwa katika shughuli zao? Huyo ndio mwakilishi wako?
Katika nchi zilizo starabika huyu kesha chafua hadhi yako ya uteuzi na alipaswa kuwekwa pembeni uchunguzi ukiendelea. Lakini sio ajabu akapongezwa na kuheshimiwa zaidi kwani kafanya jambo linalo kupendeza.
Hizi zaweza kuwa sababu za kukunyima kura mheshimiwa Magufuli.