Mjinga kama jingalao
Nioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
Nioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
Acheni michezo ya kihuni mnaumizana bure.Kile kikundi katika video wanajitapa kuwa wapo tayari kumlinda Magufuli na DC wa Hai
Kwa ushahidi huu ni kuwa kile kikundi kimetumwa na Ole Sabaya kuvuruga mkutano wa CHADEMA
Ole Sabaya ameshindwa siasa za kiistaarabu,na mamlaka ya uteuzi bado inaendelea kumuangalia tu
IGP Sirro usipokuwa makini ,ukicheka na nyani utavuna mabua
Ole sabaya na kikundi chake wafikishwe kwenye vyombo vya dola kujibu mashtaka,hakuna aliye juu ya sheria za nchi
Mi mkazi wa buguruni Hapa dar sijaona maendeleo yoyote tangu 2015Nioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kaka’s usibishane na wendawazimu wasio na heshima!
Kama hawawapendi simsubiri box la kura? fujo za nini sasa?Kitu ambacho Chadema hawapendi kuskia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi..
Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa.
Lakini kikitokea kikundi kinachomlinda Lissu eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi
Katafute kazi za mbunge alafu ndiyo urudi hapaNioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
We kweli jingalao,Acha utoto Maendeleo ya Kongwa kwa Spika umeyaona? Tumia akili uhuni kwenye siasa ni ujinga
Uvumilivu una mwisho.Kamwe haiwezekani kikundi Cha wahuni kiratibiwe na wenye mamlaka kwa lengo la kuvuruga kila mkutano wa Chadema na wanachama wakae kimya tu.Kwa Hilo Hapana.Haiwezekani wahuni wafanye Fujo wavunje vioo vya magari ya viongozi watukane kila aina ya matusi na wanachadema wakae kimya tu.Kwa Hilo Big NO.Wenye mamlaka wangekuwa wanachukua hatua isingekuwa shida.Sasa wahuni hao wamesema wazi wazi hawatamruhusu Mwenyekiti Mbowe afanye mkutano wowote wa Kampeni jimboni Hai.There are different ways to SKIN a CAT...
Martin Luther alisema Non Violence Non Violence we shall Overcome wakati Malcom X alisema by any Means Necessary
Gandhi alitumia njia ya ku-boycott kuvaa nguo za cotton ili kuwa-starve waingereza na viwanda vyao...
Hence mtindo wa an eye for an eye utafanikiwa au ndio ku-make the whole world go blind ?
Na kumbuka propaganda za CCM hata media hamna je unadhani kwa watu/wananchi nao kuanza kujibu mapigo haita-backfire na kuingia mulemule (kwamba hao watu ni wakorofi na wanataka kuleta fujo) ?
I repeat there are many ways to skin a cat..., and all have their PROS and CONS.., ila kama unadhani kwa kuwapiga hao wapuuzi wachache kutawafanya jamaa (ambao wenyewe wapo on the other side kwenye luninga) kutasaidi..., mimi nakwambia huko ni kama kumpiga nyoka mkia hawezi kufa kamwe....
Acha upumbavu!Wewe umeona hilo, angalia na hili, Chadema wana habari kuwa watafanyiwa fujo Hai, kabla hawajaenda Hai, Wanachomewa Office yao ya Kanda.
Maswali: kama walikuwa na habari ya fujo, mbona wasipeleke mashtaka polisi, Pili: Ofisi nzima ya kanda Haina walinzi , jamani hii ikoje?
Tatu: kwanini matukio yote haya yatokee kanda hii tena Arusha mjini na Hai, kwanini isitokee Ddma,Singida,Shinyanga, Musoma etc.
Chadema hii michezo yenu ni ya kizamani imeshapitwa na wakati.
This is hogwash to say the least....
Hivi Viongozi wa Chama au Watu wa Taasisi fulani wana jukumu la kuwalinda wenzao (watanzania wenzao)..., kukubaliana na hiki kitu au kuona hili jambo ni sawa ni mwanzo wa kuelekea kwenye law of the jungle...
Mwananchi yoyote anayetoa kodi ni wajibu wa serikali / vyombo vya dola kumlinda.., to say otherwise ni kukosa ufahamu... (kwahio lawana ni kwa vyombo vya dola)
Albadir ni kama emergency namba.hata bila kufanya yote hayo karma itawalipa, karma is a bitch!.
Ukapimwe uwezo wa kufikiria, chakula unachokula ni hasara kwa ardhi mimi ni ccm lakini siwezi kusapoti ujinga na kutoa kauli ya kipumbavu kama hii, kwa hiyo fujo ndiyo msingi wa maendeleo????????Nioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
Nani kasema wakae kimya ? (hapana wapaze sauti mpaka koo likauke..) na sio viongozi tu bali wapaze sauti kila kiumbe hai anaponyanyaswa... Pia kama hao wauni wanaonekana / wanajulikana badala ya kutupiana mawe au kutukana kila mnapotukanwa nadhani sio mbaya mkiweza ku-record yanayotokea (kama mtaweza) na kushika hata mmoja au wawili na kuwatia nguvuni na kuwapeleka korokoroni (hata mamlaka isipofanya kazi yake mna pa kuanzia...) mnawafungulia kesi ya trespassing / kuvunja amani na uharibifu wa mali...., sababu ukisema vijana / wananchi wajibu mapigo wao ndio watafunguliwa hizo kesi..Uvumilivu una mwisho.Kamwe haiwezekani kikundi Cha wahuni kiratibiwe na wenye mamlaka kwa lengo la kuvuruga kila mkutano wa Chadema na wanachama wakae kimya tu.Kwa Hilo Hapana.Haiwezekani wahuni wafanye Fujo wavunje vioo vya magari ya viongozi watukane kila aina ya matusi na wanachadema wakae kimya tu.Kwa Hilo Big NO.Wenye mamlaka wangekuwa wanachukua hatua isingekuwa shida.Sasa wahuni hao wamesema wazi wazi hawatamruhusu Mwenyekiti Mbowe afanye mkutano wowote wa Kampeni jimboni Hai.
Mimi sioni sawa hata kikundi cha mtu mmoja au nchi nzima ikinyanyasa au kunyima haki ya mtu yoyote..., point yangu ni kuwa hao watu 50 wakiendelea kupigiwa kelele na uvunjivu wa amani kuanzia mtaani hadi mkoani na kukemea as well as kuwashika kila wanapopatikana na kuwatia hatiani as well as kukazia kesi ni njia bora zaidi ya kurushiana mawe na kurushiana matusi (kama wanavyosema) ukiwa unapigana na kugagalazana na kichaa mpita njia ni vigumu kujua nani ndio nani...Wewe unaona sawa tu? Kwamba kikundi Cha wahuni wasiozidi 50 kizuie maelfu ya Wananchi haki yao kuchagua viongozi? Kwa vile Polisi wameshindwa kukamata wahuni hao Basi vijana wa Chadema wasilinde viongozi wao? Wasubiri mpaka wauawe kwa kupigwa mawe?
Ushauri wako hakuna mwanachadema wa kweli atakayeukubali..