Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

WanaJF

Wananchi wengi wamewashutumu viongozi wa Chadema kuanzia ngazi ya Jimbo, Mkoa na Kanda ya Kaskazini kwa kuonyesha udhaifu mkubwa wa kuwalinda viongozi wao.
This is hogwash to say the least..

Hivi Viongozi wa Chama au Watu wa Taasisi fulani wana jukumu la kuwalinda wenzao (watanzania wenzao)..., kukubaliana na hiki kitu au kuona hili jambo ni sawa ni mwanzo wa kuelekea kwenye law of the jungle...

Mwananchi yoyote anayetoa kodi ni wajibu wa serikali / vyombo vya dola kumlinda.., to say otherwise ni kukosa ufahamu... (kwahio lawana ni kwa vyombo vya dola)
 
albadili ilishasomwa we uoni matokeo
Ile ilikua ya risasi inatakiwa ya kuvimbisha matumbo ya wale wanaoapa kutenda haki huku wakiwa wanalipwa kwa kodi za umma mzima halafu wanafanya mapato ya nchi kuwa ni fimbo ya kuwapiga wale wasiowapenda ama kidini au kikabila au kikanda au kisiasa.

Albadir itawanyoosha mana ni kiapo chao wenyewe waliapa kwa kushika misahafu ya Mwenyezi Mungu na katiba ya nchi.
Laana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yao.
Musinyanyue mikono yenu kuwalipiza kisasi.Mungu atajibu kwa vizazi vyote kama alivyojibu kwenye Korona.
Mungu ni wa wote. Na huenda alituepusha na Korona kwa sababu zake mwenyewe na sio sababu za kisiasa kama baadhi ya watu wanavyotaka kutuaminisha kwa nguvu.
 
Naviona vikwazo vya kiuchumi kwa mbaaali. Naona complaints rasmi zikipelekwa ICC na UN huku uchunguzi rasmi ukiamliwa kufanyika dhidi ya Tanzania, kiongozi mkuu wa Tanzania na wakuu wake wa vyombo vya usalama hasa IGP, DGIS, na viongozi wa kisiasa kama Ole Sabaya, Paul Makonda(aliyekuwa RC DSM) na wengineo wengI.

Mwisho Naona ICC ikitoa rasmi arrest warrant kwa Jiwe na watu tajwa hapo juu kwa uhalifu dhidi ya binadamu!!!

Time will Tell!!
 
Chama kijipange, kisitegemee vyombo vya dola kulinda usalama wao japo wananchi wa vyama vyote wanalipa kodi ambayo moja ya matumizi yake ni kulipa vyombo hivyo ili vihakikishe ulinzi na usalama upo kwa raia wake

Chama kiwe kinaandaa wanasheria kabisa, ikitokea vurugu kama hizo,wafuasi wawashughulikie inavyotakiwa na iripotiwe inavyotakiwa
 
Naviona vikwazo vya kiuchumi kwa mbaaali. Naona complaints rasmi zikipelekwa ICC na UN huku uchunguzi rasmi ukiamliwa kufanyika dhidi ya Tanzania, kiongozi mkuu wa Tanzania na wakuu wake wa vyombo vya usalama hasa IGP, DGIS, na viongozi wa kisiasa kama Ole Sabaya, Paul Makonda(aliyekuwa RC DSM) na wengineo wengI.

Mwisho Naona ICC ikitoa rasmi arrest warrant kwa Jiwe na watu tajwa hapo juu kwa uhalifu dhidi ya binadamu!!!

Time will Tell!!
Nyie ndio walewale wa "tutashitakiwa "MIGa"
 
Kitu ambacho Chadema hawapendi kuskia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi..

Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa.

Lakini kikitokea kikundi kinachomlinda Lissu eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi
Una kichaa wewe ?

Kwahyo njia ya kutokumpenda mtu ni kumpiga mawe Tena mbele ya police
 
This is hogwash to say the least....

Hivi Viongozi wa Chama au Watu wa Taasisi fulani wana jukumu la kuwalinda wenzao (watanzania wenzao)..., kukubaliana na hiki kitu au kuona hili jambo ni sawa ni mwanzo wa kuelekea kwenye law of the jungle...

Mwananchi yoyote anayetoa kodi ni wajibu wa serikali / vyombo vya dola kumlinda.., to say otherwise ni kukosa ufahamu... (kwahio lawana ni kwa vyombo vya dola)
Kama hawataki kuchukua hatua wafanyaje? Inadaiwa hao waliokuwa wanarusha mawe walikuwa wanajificha nyuma ya polisi.Kwa hiyo wanachama wa Chadema wachekelee tu wahuni hao badala ya kujibu mapigo?
 
Back
Top Bottom