Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Jimbo gani inamaendeleo Tanzania? Majuzi tu PM Majaliwa alionekana kulalamikia kitendo cha shule nyingi jimboni kwake kukosa madawati na kupelekea wanafunzi kukaa sakafuni! 'Maendeleo hayana chama'
Ongezeko la wanafunzi ni maendeleo.
 
Wewe umeona hilo, angalia na hili, Chadema wana habari kuwa watafanyiwa fujo Hai, kabla hawajaenda Hai, Wanachomewa Office yao ya Kanda.

Maswali: kama walikuwa na habari ya fujo, mbona wasipeleke mashtaka polisi, Pili: Ofisi nzima ya kanda Haina walinzi , jamani hii ikoje?????

Tatu: kwanini matukio yote haya yatokee kanda hii tena Arusha mjini na Hai, kwanini isitokee Ddma,Singida,Shinyanga, Musoma etc......

Chadema hii michezo yenu ni ya kizamani imeshapitwa na wakati.
Upo sahihi hasa ktk para ya mwisho ambayo ipo applicable kwenye both sides ie waliovamia na kupiga na waliovamiwa na kupigwa.Chadema walibeba mawe na fimbo kwenye pickup na wale vijana hawakupiga watu.
Tuweni na busara tusije tukapoteza maisha na mali za watu na hatimae tukaishia ICC.
Tunamuaibisha Rais wetu,niwaombe tuache vitendo vibaya.
 
Wewe ndo Sabaya nini??? Hujaona polisi wako na hao watu wa Sabaya wakati wanawarushia mawe kina Lissu?? Hujaona OCD Hai akiwalinda hao warusha nawe hapo hadi wanachadema wanashangaa?????

Acha nikwambie Sabaya, Tanzania imebadirika. Kwa hizo mbinu zako ovu umeshafeli big time na majibu utayapata very soon!!
Asante ndugu kwa kuniteua na kunibatiza. Naona sintakosea nami nikifanya kama ulivyofanya na kukuita wewe ni Lema, uliyeandaa hizi fujo kwenye mkutano wa hai, mkitegemea litawaudhi serekali, idara husika na tume ya uchaguzi, na wao kuchukua hatua za kumuwekea pingamizi Tundu Lissu kuwa hotuba zake kali ndio sababu ya hizi fujo, ionekane vijana wanamsikiliza na wanaweza fanya fujo kubwa zaidi.

Inajulikana wazi kuwa Lissu kuwa mpeperusha bendera haikuwa nia na mapenzi yenu, lakini nguvu za wananchama wa kawaida na mvuto wake umekuwa na nguvu kumishinda, mkaamua muende na mkondo, ila sasa ndio mnaaza vidimbwi vyenu.

Haya leo mmechoma mpaka ofisi zenu, naona mwishowe mtalipua hata magari yenu, mumeanza kumtumia Lissu vitisho vya Sumu ,mkijifanya wasiojulikana.

Hivi nyie kweli mna akili, mtu anapanga akuuwe alafu anakutumia ujumbe nitakuuwa kwa kukulisha ama kukupakaa sumu. Hiyo inaingia akilini.

Huyu Director wenu wa hizi movies zenu, kapitwa na wakati, watanzania sio wale wa miaka ya 80. Mutafuteni kigogo mwengine amisaidie
 
Hao vijana hawawezi kufundishwa na cdm kusema hivyo? Rais anateua watu alioletewa na wamefanyiwa vetting kwa nini lawama ziwe kwa Rais?

Rekodi ya Sabaya ni mbaya inaeleweka. Huyo Sabaya alikuwa na kesi ya kujifanya usalama wa Taifa. Na amekuwa na rekodi ya kihalifu. Na rais kamteua kwasababu anajua huyo Sabaya anaweza kufanyia wapinzani unyama. Kwa ujumla rais anapenda wasaidizi wenye tabia za kikatili, na hili halina kificho.
 
Mim namjua Sabaya nje ndani
anamiliki genge la wahalifu ambao huwatumia kimafia Sabaya ni Mbakaji Alisha wadhalilisha wanawake kibao
hili genge lake ndiyo walitakiwa kuiharibu reli ya moshi- Arusha ili kuwasingizia kina Ibra Line ambaye ndiye mshindi wa kura za maoni CCM Moshi mjini
 
Lini tena? Labda Leo hii maana mteuzi wake ndio bye bye 28/10
Lisu akipata kura hata %10 yatakuwa maajabu,mimi nawafahamu watu waliokuwa wanampinga magufuri lakini ilifika limit wamesema amalize muda wake 10 years,hata huyo jenerali ulimwengu anamkubali magu hisipokuwa tu anataka awe msikivu kuna watu wapinzani damu lakini wapo ambao wanapinga ulegevu na misimamo ya kiongozi husika.
 
Rais anayefanya kazi na watu wa style ya Sabaya na Makonda ni wakutiliwa shaka Naapa kama Nyerere angekuwepo ikulu isingeingizwa upuuz huu kwa maana ni mahali patakatifu
 
Huyo mkuu wa wilaya ndo alie ng'oa cabage na spinachi shambani mwa Mbowe?

Tulitoa angalizo Lissu asipojirekebisha nchi hii haita epuka ya Tunisia, Misri na kwengineko. Huyu na genge lake siwakuchukuliwa kimzahamzaha.
 
Kitu ambacho Chadema hawapendi kuskia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi..

Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa.

Lakini kikitokea kikundi kinachomlinda Lissu eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi
Daaah nilikua nakuona great thinker kumbe utopolo tu.
Sasa Kama watu hawakupendi ndo wakurushie mawe serikali ipo wapi apo au ndo siasa za ccmpolice mwaka huu kama haupendwi unarushiwa mawe
Kwaiyo unamaanisha anbao hawampendi magufuri nao wakimuona wamrushie mawe
Bullshit

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Rekodi ya Sabaya ni mbaya inaeleweka. Huyo Sabaya alikuwa na kesi ya kujifanya usalama wa Taifa. Na amekuwa na rekodi ya kihalifu. Na rais kamteua kwasababu anajua huyo Sabaya anaweza kufanyia wapinzani unyama. Kwa ujumla rais anapenda wasaidizi wenye tabia za kikatili, na hili halina kificho.

Wewe inaonesha ni muhanga wa kukosa keki ya taifa ambayo uliizoe huko kipindi cha nyuma.
 
Daaah nilikua nakuona great thinker kumbe utopolo tu.
Sasa Kama watu hawakupendi ndo wakurushie mawe serikali ipo wapi apo au ndo siasa za ccmpolice mwaka huu kama haupendwi unarushiwa mawe
Kwaiyo unamaanisha anbao hawampendi magufuri nao wakimuona wamrushie mawe
Bullshit

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yale yale utaniona great triinker kama nitakubaliana nawe.

Sijasema kupigwa mawe...nimeandika kwa ujumla.

Napinga vikali vurugu na wachochea vurugu.
 
When are we taking up arms.....

!??

When...!!?? This way doesn't help.
 
Yule wa Tanga alifunga mipaka ..duu[emoji44][emoji44][emoji44]
 
Yale yale utaniona great triinker kama nitakubaliana nawe.

Sijasema kupigwa mawe...nimeandika kwa ujumla.

Napinga vikali vurugu na wachochea vurugu.
Na kamwe hauwezi kupendwa na watu wote, ukiona ivyo jitafakari sana.

Inshort siasa zimeshawashinda ccm Sasa wanatumia Dola tu kufanya fujo.

Kama haunipendi mtu mpinge kwa hoja sio kwa mawe.
Usitetee ujinga

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom