Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Kile kikundi katika video wanajitapa kuwa wapo tayari kumlinda Magufuli na DC wa Hai

Kwa ushahidi huu ni kuwa kile kikundi kimetumwa na Ole Sabaya kuvuruga mkutano wa CHADEMA

Ole Sabaya ameshindwa siasa za kiistaarabu,na mamlaka ya uteuzi bado inaendelea kumuangalia tu

IGP Sirro usipokuwa makini ,ukicheka na nyani utavuna mabua

Ole sabaya na kikundi chake wafikishwe kwenye vyombo vya dola kujibu mashtaka,hakuna aliye juu ya sheria za nchi
Nimengalia vizuri hii clip wale ni mateja na jobless na baadhi ya vijana wenye matatatizo mbalimbali ya kimaisha yaliyotengenewa na ccm makusudi kisha wanageuza matatizo hayo kuwa mtaji wa kisiasa.
 
Wewe ni mpumbav!Hao waliofanya fujo wangekuwa CDM ,polisi isingewaacha!

Endelea Kukariri....Mipango MIZITO Hiyo....Mbele Ya Fedha Za Mabeberu Hata Askari Wachache Wanaweza Kutokuwa WAAMINIFU....

We Subiri Uone tu
 
Mbona sioni sehemu inayosema ameshtakiwa huyo anayedaiwa kuratibu huu mpango?
 
Ccm walijua mwaka huu hakutakua a Upinzani Lazima waumie
 
Kitu ambacho Chadema hawapendi kuskia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi..

Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa.

Lakini kikitokea kikundi kinachomlinda Lissu eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi
 
Mi
Hili ndo Jibu! Ole Sabaya ndo muhusuka mkuu wa vurugu zilizotokea Hai na pia uchomaji wa Ofisi za Chadema Arusha!!

Kama hiki alichokifanya anafikiri kitamlipa basi ajue amefeli big time. Nguvu ya umma tutamwonyesha mwaka huu!
Mikono Yenu Wenyewe....
 
Kile kikundi katika video wanajitapa kuwa wapo tayari kumlinda Magufuli na DC wa Hai

Kwa ushahidi huu ni kuwa kile kikundi kimetumwa na Ole Sabaya kuvuruga mkutano wa CHADEMA

Ole Sabaya ameshindwa siasa za kiistaarabu,na mamlaka ya uteuzi bado inaendelea kumuangalia tu

IGP Sirro usipokuwa makini ,ukicheka na nyani utavuna mabua

Ole sabaya na kikundi chake wafikishwe kwenye vyombo vya dola kujibu mashtaka,hakuna aliye juu ya sheria za nchi

Kwa hali inavyoendelea juu ya wapinzani, basi ni dhairi kabisa kuwa kuna mtu mmoja mwenye nguvu na uwezo mkubwa juu ya wananchi anaye wapa kinga wahalifu.
 
Kitu ambacho Chadema hawapendi kuskia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi..

Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa.

Lakini kikitokea kikundi kinachomlinda Lissu eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi
Huwa nakuona wa maana,kumbe nawe ni wale wale akina jingalao.
 
Huyo mkuu wa wilaya hiyo nafasi kalazimisha.ni muhuni kama wahuni wengine
Kama ni kweli amewatuma,
Huyu Mkuu wa wilaya ni tatizo kubwa sasa

Siasa ni sela sio vita

Hawa ndio watendaji wanakiharibia chama chetu cha mapinduzi

Ona sasa mtu mmoja anakibebesha chama lawama
 
Na wew usiwe box!Huoni wanajaribu kuonesha kuwa CDM haikubaliki kwenye eneo ambalo ilikuwa ngome yake?Kanda ya kaskazini imekuwa ngome ya CDM kwa miaka mingi,sasa uhuni unafanyika kuwaondolea imani kwa wananchi!
Jaman kama hukipendi chama au mgombea,kaoneshe hizo hasira kwenye sanduku la kura!
Hawa wahuni akina Sabaya wanafanya michezo hii ili CCM iendelee kubaki madarakani maana wananufaika nayo kimaslahi!Sasa wewe kijana mlalahoi unatumwa kufanya vurugu nawe unapeleka tumbo,jinga kabisa!


Wanaonesha kuwa hawaipendi Chadema wakina nani hao wakati ngome ni ya CHADEMA na mbowe alipita kwa kupingwa kwa kula 2 tu ndani ya Chama.


Na ikizingatia wana hai wote wamechoshwa na rushwa maisha magumu na uonevu wa utawala wa JPM?
 
Jifyatueni tu akili zenu, asaiv chadema siasa za kikondoo basi, tumenyonga greengad wawili kawatazalishe shangazi zako
Chadema Wamekuwa Kama Marekani Kipindi Walipoishambulia Meli Yao Iliyokuwa Pwani Ya Guantanamo Halafu Wakamsingizia Fidel Castro na CUBA yake...

WAFANYE Chadema halafu wawasingizie Sabaya na CCM...

Daah Mmetufikisha Pabaya Nyinyi Chadema looh hatareee...
 
Viashiria vinaonesha kuwa uchaguzi huu hautakuwa huru na hivyo amani itatoweka!
 
Chadema Wamekuwa Kama Marekani Kipindi Walipoishambulia Meli Yao Iliyokuwa Pwani Ya Guantanamo Halafu Wakamsingizia Fidel Castro na CUBA yake...

WAFANYE Chadema halafu wawasingizie Sabaya na CCM...

Daah Mmetufikisha Pabaya Nyinyi Chadema looh hatareee...
Punguza ujinga.Kama ivyo ndivyo mbona hatuoni vyombo vya dola vikichujua hatua yakukomesha huo ujinga.Ukiona nao wanakua na sintofahamu maana yake wanajua wanaousika na huu ujinga na wanawaogopa.sasa nyie chezeni tu amani ya hii nchi majibu mtayapata siku isiyo na jina.
 
Nioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
Jimbo gani inamaendeleo Tanzania? Majuzi tu PM Majaliwa alionekana kulalamikia kitendo cha shule nyingi jimboni kwake kukosa madawati na kupelekea wanafunzi kukaa sakafuni! 'Maendeleo hayana chama'
 
Back
Top Bottom